oruguyo
Senior Member
- Jul 28, 2012
- 132
- 37
Ndugu viongizi Wa nchi yangu hatakama hamjui hatutachoka kusema. Walimu waliosimamia mtihani Wa kudato cha NNE hawajapewa fedha yao ya usumamizi hadi Leo 19/05/2016 wilaya ya Mbogwe mkoa Wa geita. Ndugu mnawasaidiaje walimu katika wilaya hii ili wapewe haki yao. Chakushangaza hata hao wezi Wa fedha za walimu (cwt) hakuna wanachofanya zaidi ya kushirikiana na mkurugenzi kuhakikisha walimu wanakatwa fedha zao pasipo kulidhia/hiari yao.members from jamii forum tusaidieni kupaza sauti walimu Wa Mbogwe geita kwani hakuna wakutusemea.ninawasilisha wakuuu.