Walimu wenye uzoefu msaada tafadhali

Walimu wenye uzoefu msaada tafadhali

rubwe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
109
Reaction score
25
Ikiwa ni mwalimu ndio kwanza umeajiriwa sasa unataka kuhama yaani kubadilisha shule wilaya hiyohiyo. Wanajamvi nauliza mchakato uko vipi na ni baada ya muda gani natakiwa kumpa mkuu wa shule barua yangu ya maombi ya uhamisho.
 
Mkuu unampa barua ya nini, we nenda ofisi ya elimu onana na afisa elimu mueleze sababu zako za kutaka kuhama na akiziona ni valid atakushauri uandike barua ya kuomba kuhama na baada ya hapo atakuhamisha.
 
Back
Top Bottom