kweli kabisa...nina shemeji yangu, form six now nakumbuka alikua anataka smart phone basi tricks halizokua ana
tumia ili nimnunulie zilikua hatari sana
Hizi simu ziachane tuu wanafunzi wakae bila simu utasema wawe wanaulizana at the end of the day izo simu zitukuwa zinatumika kweny mitiani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]