Walimu washindia mihogo Mwl. Nyerere Memorial Academy

georgemwaipungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
2,779
Reaction score
589
Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu.

Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu!
 
Ndio maana Chama Cha Waalimu CWT kanda ya kaskazini mwezi July walisema wazi kabisa kuwa HAWATAIPIGIA KURA CCM kwa kushindwa kuwalipa malimbikizo,kuongeza mishahara yao na kuwapandisha madaraja. Labda na hao wakufunzi watakuwa na msimamo huohuo.
 
Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu.
Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu.

Hao wanataka mabadiliko.
 
Mwaka watapigiwa kura na familia zao tu maana hata walimu washajitambua na hawataki watumike like a toilet paper
 
MNASUBIRI NINI CHUKUA HATUA STAHIKI YA KUONDOA SERKALI YA VASCO DAGAMA IKULU.i
 
Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu.
Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu.

duh! ni kugoma tu hamna namna nyinine wakufunzi
 
Ndio maana Chama Cha Waalimu CWT kanda ya kaskazini mwezi July walisema wazi kabisa kuwa HAWATAIPIGIA KURA CCM kwa kushindwa kuwalipa malimbikizo,kuongeza mishahara yao na kuwapandisha madaraja. Labda na hao wakufunzi watakuwa na msimamo huohuo.

Mishahara ya walimu inalipwa na CCM???
 
Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu.
Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu.

Alafu waalimu bado mnasema ccm oyeee..khaa mnachekesha sana...
 
Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu.
Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu.

Si mnasema hapo ni kazi tu? Mkiambiwa mabadiliko ni sasa nyie mnafikiri ni story. Mabadiliko ni kung'oa mfumo mbovu wa utendaji wa serikali. Acheni kulubuniwa kwa tisheti, kofia na kanga kwa ahadi zilezile zisizotekelezeka miaka nenda miaka rudi.

Mkiona hamuyawezi mabadiliko basi msilalamike, endeleeni kupiga kazi kwa vile mnajigamba hapo ni kazi tu chakula na huduma za jamii baadae. Pia endeleeni kuchagua chama chenu!
 
Back
Top Bottom