Walimu wapya wilaya ya Muleba kimenuka!..

Mchakatoh

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
302
39
Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma&degree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid kuchakachua eti waliopangiwa shule zalizopo halimashauri ni sh 45 na wale wa vijjn ni 35, 25..duh mwl wa tanzania bado hali ni ngumu!
 
tuwekee vizuri hiyo habari mkuu na jinsi mchanganuo ulivyo.

Make nasi hapa kwetu kisiwani tu walewale ambao wanetu ndio wamechaguliwa kwenda sekondari lakini hata majina yao hawajui kuyaandika vizuri wakati tegemeo letu lilibakia tu kwa hao walimu wapya kutupa hauheni!

We acha tu, sitaki kuamini kama kweli 'aliyekosa kakosa tu'!
 
hapo msimlaumu afisa elimu wala mkurugenzi cha kulaumu ni serikali kuu hasa hao wanasiasa wanaosema nendeni mkaripoti wakati hawajatuma kitu huko kwenye halmashauri..................nawahakikishia hz halmashauri hazina kitu kabisa na nyingine zipo hoi ila tu zinapewa maagizo walipeni hao posho ya siku 4 kikubwa ilitakiwa serikali itume hayo malipo mapema kwenye hizi halmashauri kweli inauma sana hasa siasa inapochanganya na maisha ya mtu waalimu wanateseka sana.
 
Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma&degree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid kuchakachua eti waliopangiwa shule zalizopo halimashauri ni sh 45 na wale wa vijjn ni 35, 25..duh mwl wa tanzania bado hali ni ngumu!

kwa rate hizo ni sawa kabisa. Ila hapo wamekosea, walipotoka kwao kuja mjini wakiwa hapo wote inabidi walipwe kwa rate moja yaani 45,000 kwani ndo walikofikia kutoka makwao. Wanataka kuwachakachua hizo 10,000 zao. na kweli nyingi maana kama una walimu 30, hapo afisa elimu anaondoka na laki 3 sio mbaya
 
Hatimaye hela imelipwa ya siku4 45 kwa 30 baada ya mkurugenz wa wilaya kutuhubr na nyaraka zao..hela ya mizigo na naul eti tuandike barua na kuambatanisha tiket halisi! fedha iliyotumwa toka hazna ni sh 36ml kwa walim 300,eti nyingne ya siku 3 tusubr awam ya pili!
 
Walimu wapya wilaya ya Muleba wamegoma kuchukua fedha za kujikimu ya siku 4 badala ya siku 7(diploma&degree)..afisa elimu na mkurugenz wamesema eti ndo agizo la kutoka wizara elimu na bado wakazid kuchakachua eti waliopangiwa shule zalizopo halimashauri ni sh 45 na wale wa vijjn ni 35, 25..duh mwl wa tanzania bado hali ni ngumu!

Siyo ngumu tu bali ndo masikini wa mwisho wakifuatiwa na wakulima
 
Alafu matokeo yanavyokuwa mabaya wanajiuliza mchawi ni nani kama ndo hivyo walim hawaridhiki
 
Hatimaye hela imelipwa ya siku4 45 kwa 30 baada ya mkurugenz wa wilaya kutuhubr na nyaraka zao..hela ya mizigo na naul eti tuandike barua na kuambatanisha tiket halisi! fedha iliyotumwa toka hazna ni sh 36ml kwa walim 300,eti nyingne ya siku 3 tusubr awam ya pili!
kwa hiyo mtafika lini mliopangiwa huku kwetu? Wahi maana masomo yanaendelea na shortage ya walimu ni kubwa mno maana hata hao waiopo bado uwezo wao tunakuwa na mashaka nao. Karibuni sana
 
Back
Top Bottom