Duh, Jana na leo mashirika ya NMB, CRDB, NBC na LAPF yamevamia Ofisi za Manispaa ya Kigoma/Ujiji kama mwewe kuja kuopoa wateja wapya (walimu ambao wameanza kuripoti hapo)! Ni mashindano hadi raha. Wote wameweka vibanda vya maelezo ya shughuli zao utafikiri kuna Maonesho ya Sabasaba!