Walimu wapongezana matokeo kidato cha nne............!!

Walimu wapongezana matokeo kidato cha nne............!!

Hakuna cha walimu wala nn hizo ni sms za mjin tu.coz wanafunz wamefeli hadi wa private school je nao walimu wa huko maslah ni madogo???
 
Tafakari kwa kina! Kwani matokeo ni mabaya kwa mlengo mmoja tu wa serikali? Basi ukiona kilio kila mahala ujue kuna mahali tumejikwaaa cha msingi ni kuangalia wapi tulipojikwaaa mengne ayo ni mbwembwe tu!
 
Back
Top Bottom