Walimu wapongezana matokeo kidato cha nne............!!

Walimu wapongezana matokeo kidato cha nne............!!

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
ukibishana na mpishi jiandae kula chakula kibichi( baadhi ya maneno ktk sms wanazotumiana) chanzo gazeti la habari leo 12/march
1. NAWAULIZA HAO WALIMU JE....? WAO HAWANA WATOTO......?
2. WAKATI WAO WAKIWA WANAFUNZI JE WALIMU WANGELIFANYA HILI WANALOPENGEZA ,LEO HII WANGELIKUWA WAPI.....?
 
madaktari kwani hawakufurahia walipokufa wagonjwa? Vita vya Tembo Furaha kwa kunguru!!
 
ukibishana na mpishi jiandae kula chakula kibichi( baadhi ya maneno ktk sms wanazotumiana) chanzo gazeti la habari leo 12/march
1. NAWAULIZA HAO WALIMU JE....? WAO HAWANA WATOTO......?
2. WAKATI WAO WAKIWA WANAFUNZI JE WALIMU WANGELIFANYA HILI WANALOPENGEZA ,LEO HII WANGELIKUWA WAPI.....?

walimu nao wana machungu jamani waacheni watoe machungu yao.
kugoma ni aina moja ya kutoa malalamiko au unaweza kufanya vitendo vingine pia kuonesha malalamiko yako au kutaka mabadiliko.
kama wao nao wamechangia basi sisi wanannchi na liserikali letu ndo tujue walimu wanamahitaji na wanahitaji kuthaminiwa.
 
whether the teachers did it or not let the truth b known. Walimu wamepuuzwa vya kutosha haya ndio matunda ya kuwatukana wataalam na kuwakumbatia wanasiasa
 
siku hizi hakuna walimu wito.. wengi ni mamluki waliofuata mkopo HESLB, watoto wa wakubwa hata wakifeli wanapelekwa nje kupiga shule.., sana sana ni watoto wa wanaotoka familia zenye kipato cha chini ndio walioathirika, katika hili tuache upambe, vinginevyo tunazalisha utawala wa kifalme.. maana tutatawaliwa na familia zile zile siku zote.. watoto wa watanzania walio wengi wanasoma ktk shule zetu ambazo division zero na four ni zaidi ya 90%.. kwa hili walimu wamefikisha ujumbe kweli lakini wamechemka.
 
ukibishana na mpishi jiandae kula chakula kibichi( baadhi ya maneno ktk sms wanazotumiana) chanzo gazeti la habari leo 12/march
1. NAWAULIZA HAO WALIMU JE....? WAO HAWANA WATOTO......?
2. WAKATI WAO WAKIWA WANAFUNZI JE WALIMU WANGELIFANYA HILI WANALOPENGEZA ,LEO HII WANGELIKUWA WAPI.....?

Ule mgomo wao wa awali ulipo feli Walimu walihuzunika sana......Kwa bahati nzuri kumbe mgomo sio lazima ubebe mabango na kutokuudhurua darasani, kuna njia nyingine mbadala ambayo walimu walitumia kufikisha ujumbe wao kwa Serikali dhaifu ya JK......Halafu njia hii ya pili imekuwa na mafanikio makubwa sana...Kwahiyo walimu wanahaki ya kujipongeza kwa kufanikisha lengo lao....Hureee Walimu...
 
jamani naomba tukumbuke kuwa sili kari imechukulia swala la elimu kisiasa kwa kutelekeza walimu na wanafunzi kwa wingi,bila vifaa wala kuwajali,mwalimu halipwi mshahara mpaka miezi sita emagine huyu m2 ataishije SILI KARI ELIMU KWANZA!!
 
walimu nao wana machungu jamani waacheni watoe machungu yao.
kugoma ni aina moja ya kutoa malalamiko au unaweza kufanya vitendo vingine pia kuonesha malalamiko yako au kutaka mabadiliko.
kama wao nao wamechangia basi sisi wanannchi na liserikali letu ndo tujue walimu wanamahitaji na wanahitaji kuthaminiwa.

walimu wanaonewa bure,tatizo sisi kwa kuendelea kuichagua ccm
 
jamani naomba tukumbuke kuwa sili kari imechukulia swala la elimu kisiasa kwa kutelekeza walimu na wanafunzi kwa wingi unaowazi walimu,bila vifaa wala kuwajali mwalimu halipwi mpaka miezi sita emagen huyu m2 ataishije SILI KARI ELIMU KWANZA
sahihi kabisa
 
Sawa tu.. Ww hujui mazingira ya walimu waache wapongezane
 
Walimu wanasema JK aliwambia anayeona mshahara haumtoshi na aache kazi. Hivyo walimu wamelitekeleza hilo kwani wameacha kazi wamebaki na ajira.
 
well-done tu ticha tunaomba mwaka muongeza mikakati wafaulu 10% tu
 
Back
Top Bottom