Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri
Kwa hiyo mkuu unamshauri asiwe responsible kwenye kazi yake sio?
Mabadiliko yanaanzia kwako mwenyewe,acha kuwa busy na watoto wa wenzako wakati huna posho,tumia muda mwingi kufanya kazi binafsi,acha kukomaa na wanafunzi utalaumiwa na watoto wako baadae,ushauri zaidi njoo PM,hata mwalimu mwingine unaweza kuomba ushauri
I support you!! 100% ukijifanya unajali saaana kazi ya ualimu utapoteza muda na nguvu buree!!Fanya mishe zako zingne ww lasivyo utakufa maskini!!Maafisa huko Halmashauri wanapiga mihela,,yanadhulumu pesa za waalimu!!!Waalimu hadi leo hii hatujalipwa Malimbikizo,,pesa zetu za kujikimu hamnaa!!kila ukifatilia wanakupiga chenga,,huo ufala unategemea mwalim.ajitolee kufanya kazi kwa bidii??Haiwezekani!!

Asante nilikuwa na vpindi karbia 48 kwa wiki nikifka geto kizungu zungu macho ymerudi ndaniiii....
ngoja kwanza niangalie upepo unaendaje
Hakuna cha kuangalia matatizo ya walimu zaidi ya 20yrs sasa wewe unasubiri miujiza ya nani?
lakini jamani Kauli mbiu yetu ni HAPA KAZI TU. Sasa tutatekelezaje haya kwa kuwa watoro KAZINI ? Bora hata aliyeshauri kukopa benki na kuanzisha biashara.
binafsi nasubiri waje wachangiaji wengi nahisi ntapata kitu may be mkuu
Endelea kusubiri hujui walimu tunajificha kuanzia mtaani hadi kwenye mitandao,chezea ualimu wewe,hadi muuza mahindi ya kuchoma anadharau utamsikia walimu wanapokea Tsh160,000 kwa mwezi,,lazima aseme kwasababu hajawahi kuona gari au nyumba nzuri ni ya mwalimu