Walimu wanaojitolea

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,140
Mwezi mmoja uliopita TAMISEMI waliagiza wakuu wa shule sehemu mbali mbali watume majina ya walimu wanaojitolea; katika tangazo lao hawakubainisha kwa ajili ya nini, lakini LOGIC ikawa ni hitaji la kuwapa ajira.

Kuna ndugu yangu alituma taarifa zake shule flani Morogoro, hakuna tetesi ama taarifa rasmi ya TAMISEMI kuhusu walipofikia na huo mchakato?
 
Siuseme niwewe [emoji1787][emoji1787]

[emoji2][emoji2] nina mdogo wangu yupo pale moro, naona bado yupo home tu na mishe zake, na kitambo alinipa hiyo taarifa.
 
Unaotaka wakuajiri wapo wanatafuta ajira...... Kua na subira mkuu wakipata huenda ukakumbukwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…