Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Madaraka nayo huwa mzigo kwa baadhi ya watu,hivyo huwafanya baadhi walewe
mkuu uwe na uelewa tafadhaliHaohao, hongera yako unayesomesha nje ya nchi
Mkija kwenye hizo shughuli zenu za maendeleo wakipiga kimyakimya mtaenda kuleta walimu wengine jeshini au mtaenda kukodisha Kenya?
Kwa sababu mfalme anapenda watu wanaopayuka tu siyo wanaofocus mbele
Mkuu kwani Walimu wote wapo Instagram?!alishaombaga msamaha kwenye ukurasa wake wa instagram
kwani aliwakashifu kwenye instagram? atumie media kama alizotumia siku ile kuomba msamaha.alishaombaga msamaha kwenye ukurasa wake wa instagram
Kwa nini atumie instagram wakati wa kuomba radhi? Atumie njie ile ile aliyowakashifu nayo.alishaombaga msamaha kwenye ukurasa wake wa instagram
Amewatukana tusi gani mbona mimi sioni hilo tusi?? Hivi hapa Tanzania ni walimu tu ndo wenye mshahara mdogo?? Amesema kama hawaridhiki na mshahara ni bora waache kazi!!Hakuna, aweke hadharani kama alivyowatukana yeye! Kwani aliwatukania huko facebook? Aitishe waandishi wa habari ndo tutamwelewa!