Walimu waliopitia JKT tukutane hapa

Mbuzi Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
348
Reaction score
85
Poleni walimu wenzangu kwa kusubiri ajira.

Nimeamua kuanzisha uzi huu ili walimu wazalendo tuliopitia JKT tukutane hapa tujuzane habari za mtaani na ishu ya ajira zetu. Pia vile vile ningependa tujuzane kwa wale walioacha majina vikosini wanaitwa lini?

Bila kusahau tukumbushane vituko na karaha na furaha tulizozipata jeshini.

NB:wangapi?
Wachache sana,
Wakina nani?
Walimu wa JKT.

KARIBUNI WOTE
 
Walimu inapendeza mkikutana kama hivi.

Na sie wengine tukiwa tunayaona ya hapa na pale mliopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…