habari nilizozipata kutoka ndani ya ofisi za jiji ni kwamba walimu wote walioshiriki mgomo wanaondolewa kwenye kazi kukusanya takwimu,chanzo kinasema agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa na kazi ya kubadili majina imeanza mara moja!
Swali:iweje watolewa walimu wa jiji tu na wala si mkoa mzima au nchi nzima?
Huyo mkuu wa mkoa hajui atendalo asubiri asira za walimu huko mashuleni,hii nchi haina kiongozi mwenye sauti kila mtu na maamuzi yake hajui kwamba sensa ni jambo la kupita lkn kutetea maslahi ni suala la kudumu,kweli kila mahali ni dhaifu