wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 491
- 763
Hivi sasa mjini Iringa kuna mafunzo ya TOT wa sensa yanaendelea kwa lengo la walimu hao kwenda kutoa mafunzo ngazi ya mkoa kisha walimu wa ngazi hiii wataenda ngazi ya Tarafa kufundisha makarani wa sensa, wasimamizi wa maudhui na Tehama.
Sasa akiwa ktk hafla ya kusaini makubaliano ya mradi wa kujengewa uwezo wa kitakwimu dhidi ya serikali ya Korea kusini, Dr albina chuwa mtakwimu mkuu wa serikali aliwaeleza TOT hao ambao kwa idadi ni 400 kuwa anajua wote waliopo humu ukumbini ni watu wazima na hatarajii kuona aliye chini ya miaka 25.
Akauliza kama yupo asimame, ndipo kijana mdogo sana akasimama na kusema kuwa ana miaka 21 na anatokea Dar es salaam na kwa sasa anajiandaa kuingia form six.
Hali hii ilileta taharuki kwa TOT kuona kijana mdogo vile kupewa jukumu kubwa kwenda kufundisha walimu wa makarani mikoani.
Hata hivyo Dr chuwa akaanza kulifanyia kazi kwa kujua kijana kawekwa kwenye TOT na nani?