Walimu waliogoma tanga mjini kuondolewa kwenye kazi ya sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu waliogoma tanga mjini kuondolewa kwenye kazi ya sensa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by vunjajungu, Aug 3, 2012.

 1. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Salam wana jf

  habari nilizozipata kutoka ndani ya ofisi za jiji ni kwamba walimu wote walioshiriki mgomo wanaondolewa kwenye kazi kukusanya takwimu,chanzo kinasema agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa na kazi ya kubadili majina imeanza mara moja!
  Swali:iweje watolewa walimu wa jiji tu na wala si mkoa mzima au nchi nzima?

  Chanzo:mtumishi wa jiji la tanga.
   
 2. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyo mkuu wa mkoa hajui atendalo asubiri asira za walimu huko mashuleni,hii nchi haina kiongozi mwenye sauti kila mtu na maamuzi yake hajui kwamba sensa ni jambo la kupita lkn kutetea maslahi ni suala la kudumu,kweli kila mahali ni dhaifu
   
Loading...