bora wanifukuze kazi kuliko kuacha kubeti mama samia popote ulipo mimi kama mwalimu nimegoma kuacha kubet mana dharau mmeanza nyiny tumewafundisha kusoma a e i o u leo unaitwa rais lakin mnatuona walimu kama kiaz cha motisha leo mje mtuambie tuache kubeti mnataka tufanye nini oyaa walimu wenzangu ikifikia tarehe 20 pandishen uzi wa mishahara mbona inachelewa mkishapata mpeni man city yanga na livepoor then tukutane bar tungoje tarehe 20 inayofuata kwakwel tungoje penshen mana wanatuona wapuuz oya dj tulete walimu na nyimbo ya marioo -bia tam then malizia na ya hamonize-nikilewa sitaki nigasiwe niaje mtoa mada mbona unatukela,,, asanteeee dj