DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,635
- 81,535
Hii kada kila kiongozi huwa anajihisi anawamudu.
🤣🤣Imagine unaambiwa hivyo huku umeshasuka mkeka wako mwenyewe na unasubili timu moja tu itiki ubebe kibunda chako..
Kama namuona teacher hapo aliyevaa batiki ya njano na ugoro anamwangalia mkuu wa wilaya kwa madharau kabisa. Ila sijasema amebet jamani🤣🤣🤣🤣
Kazi ngumu sana hiiHABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
View attachment 3120288
Ipo siku watakatazwa kupata hamu ya tendoHABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.