Walimu wapya walioajiriwa mwaka jana 2015 wametakiwa kufika makao makuu ya wilaya ambako wameajiriwa kwenda kutolesha "copy" barua zao za kuthibitishwa kazini. Tendo hili limefanyika katika baadhi ya Halmashauri za Wilaya.
Walimu hao wanapofika halmashauri wanapewa nakala ya barua ambayo huelekezwa wakaitoe nakala (copy) kisha huirejesha barua orijino na nakala katika ofisi husika na kuambiwa zoezi la kuitwa wilayani hapo limekamilika.
Kinachoshangaza ni huo wito wa kumtaka mwalimu asafiri umbali wa takribani kilomita 70 kwenda kutoa nakala ya barua ya ajira. Na kila mwalimu mhusika anapaswa kwende yeye binafsi asimtume au kumwagiza mwenzie.
TANZANIA Vituko HAVIISHI