Walimu waitwa makanjanja!

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Huko mbinga walimu waitwa makanjanja na Mh. capten John komba, Jamani wana jf nini maana ya makanjanja na je hii ni sahihi.
 
Kumbe yeye ni std ngapi vile? Maana nasikia mutu ukishakuwa mbunge hata elimu inapatikana automatically ,kwa hiyo yeye ni zaidi ya walimu,ama kweli tz kuna vioja
 
Back
Top Bottom