Walimu wafumaniwa wakilana uroda darasani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wafumaniwa wakilana uroda darasani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 11, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mwalimu Alini Brito kushoto na mwalimu Cindy Mauro kulia

  Walimu wawili wanawake wa nchini Marekani wamesimamishwa kazi baada ya kufumaniwa wakiwa uchi wa mnyama wakisagana darasani.

  Mfanya usafi wa shule hiyo alimfumania mwalimu mwanamke wa somo la kifaransa Cindy Mauro mwenye umri wa miaka 33 na mwalimu mwingine mwanamke wa somo la Kihispania Alini Brito mwenye umri wa miaka 29, wakiwa uchi wakisagana ndani ya darasa moja la shule ya sekondari ya James Madison High School iliyopo Brooklyn, New York nchini Marekani.

  Kwa mujibu wa gazeti la New York Daily News, walimu hao walikuwa wakipeana raha huku wanafunzi wakishuhudia shoo hiyo ya kikubwa kupitia darasa la pembeni yake.

  Walimu hao wamesimamishwa kazi huku uchunguzi zaidi wa tukio hilo ukiendelea.

  Tukio hilo lililotokea tarehe 20 mwezi uliopita, limewafanya wanafunzi waanzishe makundi kwenye Facebook wakiwazungumzia walimu wao.

  "Tunatamani tungekuwa tumeweka kamera kwenye madarasa yetu kabla ya tukio lile", alisema mmoja wa wanafunzi ambaye hakutajwa jina lake katika kundi la Facebook lenye wanachama 500.

  Mwalimu mkuu wa shule hiyo alikataa kusema chochote lakini mume wa mwalimu Brito alielezea kustushwa na tukio hilo.

  Walimu hao walikuwa ni maarufu sana shuleni hapo kutokana na vibwanga vyao.

  Mwalimu Mauro alikuwa ni mcheshi na aliyependa kuvaa nguo kama msichana mdogo akionyesha maumbile yake.

  "Mwalimu Mauro alikuwa akivaa sketi fupi au jeans fupi na vitopu vinavyoishia kitovuni, alikuwa ni mrembo kweli", alisema mwanafunzi Eddie Ramirez mwenye umri wa miaka 18.

  Mwanafunzi huyo alisema kuwa uvumi ulisambaa kwa kasi kuhusiana na mahusiano ya walimu hao lakini walimu wengine walijaribu kulizima soo hilo lisibumburuke.

  Msemaji wa kitengo cha elimu, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema kuwa walimu wote wawili wamesimamishwa kazi wakati uchunguzi ukiendelea.
   
 2. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hawa inamaana hawana malazi yao binafsi au ni mzuka uliwapanda?
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 4. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Max Shimba unasemaje hapo??? ingekuwa waislam ingekuwa issue hiyo.
   
 5. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh hii kali sana. Pia haina maadili
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi nilijua Bongo hapa hapa kumbe kwa weupe ahaaaa hakuna kitu cha ajabu hapo.
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mizungu wakati mwingine nadhani inajisikia tu kufanya mambo ambayo lazima yawashangaze watu!!.....
   
 8. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hivi watu wazima wata fanyaje mambo hayo wakiwa watupu na wakijua kabisa watoto wanawatazama au ndio "gay awareness campaign" in style?
   
 9. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Automatikali ni mzuka! We si umesikia wameolewa na wana ndoa bado?
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,401
  Likes Received: 22,284
  Trophy Points: 280
  ujinga mtupu
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uarabuni watu kama hawa wakipigwa mawe mtawatetea?
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hafif, hivi waislam ni watu, dini, kikundi cha watu, cult, majina ya watu, au nini?

  Ulicho wafanya wewe baada ya kuona majina ni ya ki western, basi umesha fikiria hao watu ni Wakristo! Having a western name does not make someone a christian.

  Walicho fanya hoa wadada wa Midwood si jambo lakufurahisha wala kupigia debe. Kama wangekuwa Uganda, nafikiri unaelewa Mukulu Museven angewafanya nini.

  Hivyo Ndugu Hafif, mimi sina chuki na Waislam, bali si furahishwi na sheria za sharia ndani ya Koran na Koran. Kwa taarifa yako, rafiki yangu Mkubwa kwa miaka takribani 15 na ushehe ni Shehe anaye ishi Alexandria Misri. Shehe S. M. Attia.

  Watakabahu,

  Max Shimba, A Bondservant of Jesus Christ.
   
 13. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa waarabu hao ingekuwaje?

  Lakini kwa kuwa wazungu unawakana hata kwa majina yao. lakini kumbuka kuna waarabu wakristo vile vile.

  Adhabu bakora 100 hadharani bila kujali cheo wala rangi.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Only in New York!

  It's Zooklyn in the house.
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Dini zao zinahusika vipi kwenye tukio hili? wakora na wahuni hawana dini.Wamgekuwa na dini basi ingekuwa rahisi sana kuachana na dini ya wahalifu na kuingia dini ya malaika.
  Ushawahi kucheki stats za wahalifu na walioko magerezani bongo? Bado utakuwa na swali kama hili?
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Are Arabs better? Mbona huwa mnapenda kuchanganya Uarabu na Usilamu? Au usilamu ni uarabu? Hivi mnalishwaga nini kwenye Mad-rasa ya Marehemu Muham-mad?
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Swadakta
   
 18. k

  khashdz Member

  #18
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  mi nafikiri wanatafuta umaarufu tu.
   
Loading...