Walimu wafanyiwe Usaili

Walimu wafanyiwe Usaili

Ili kuboresha elimu yetu, ni wakati sasa Serikali kupima uelewa wa walimu inao ajiri.

Shule binafsi haiwezi pokea Mwalimu bila usaili na kumuona kama atawafaa au la.

Serikali kama inafanya usaili kwenye kada nyingine, kwanini hili kundi halifanyiwi usaili?

Kuna walimu wengi ukiwapa maswali ambayo hawajawahi yaona ila topic ile ile wanapotea kabisa.

Walimu wengi wanafundisha kwa mazoea


NB:

Nina ndugu, marafiki, mashemeji ambao ni walimu
Unafahamu kweli vigezo vinavyotumiwa na hizo shule binafsi kwenye kudahili wanafunzi wa kujiunga na hizo shule zao? Yaani sifa za mtoto kujiunga shule kama Kemebis, St. Francis Mbeya, nk! Unavifahamu kweli wewe!!

Je, hivyo vigezo ni sawa na vile vinavyotumiwa na shule za serikali kwa wanafunzi wa shule zao za kata?

Unahisi ungekuwa wewe ndiyo mwalimu wa shule ya kata ungeweza kufanya maajabu yoyote yale ya kumfaulisha mwanafunzi ambaye hata yeye mwenyewe tu, hajui alifikaje sekondari? Muwe mnafanya utafiti wa kina ili mpate majibu sahihi.

Kuwatumia ndugu, marafiki na mashemeji zako wachache ambao ni vilaza, hakuwezi kuwa ndiyo hitimisho ya hiki ulichokieleza hapa.
 
Ili usome ualimu udsm ni lazma uwe na division 1 au 2 ya advance
Sio uwalimu Ni Elimu, watu wanachanganya 'Education' na 'Teaching' mean College of Education na Teachers College....wanaosoma UDSM, UDOM nk ni wanasoma Education kifupi Ni Wana taaluma ila Teaching ndio sehemu kubwa ya Education ndio maana wanakuwa walimu

Nakusoma hizo kozi husomi Kama huna Division Two
 
Four ya 28 wengi walienda Ualimu
Tofauti have uwalimu na Elimu Bachelor Of Education ni Shahada ya Elimu unasima chuonkikuu tu na husomi bila kupata minimum Division Two
 
Back
Top Bottom