MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Wanajamvi,
Kuna walimu walioingia ktk taaluma ya ualimu bila kufika elimu ya sekondari, hayati baba wa Taifa (RIP) alifanya hivyo ili kufuta ujinga, lakini walimu hawa walikuwa wanajituma sana tofauti na walimu wa sasa.
Lakini bahati mbaya hawapati heshima stahiki japo wameweza kufundhisha mpaka baadhi ni wahandisi, madaktari, maprofesa na nk.
Jamani tuwakumbuke na tuwaheshimu hasa waliosoma zamani.