Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Wakuu.
Fanya uchunguzi mdogo wa waalimu wako waliokufundisha shule ya msingi miaka hiyo, saivi kila unaporudi likizo wapo stable , wakakamavu na strong kabisa. Ila jikague wewe mwenye umri mdogo, unazeeka na kuchoka kwa speed ya ajabu sana.
Unamkuta mwalimu mstaafu over 10 years lakini yuko fiti kabisa , wachache sana wanatumia miwani.
Check sasa mtu aliyestaafu wa kada nyingine, anachoka haraka mno na kufa mapema sana.
Nini siri ya walimu wa Shule za Msingi kuchelewa kuzeeka ?