Walimu wa Shule za Msingi hawazeeki haraka

Walimu wa Shule za Msingi hawazeeki haraka

inabidi tuoe walimu sasa maana siye wanaume hatuzeeki mpaka 80
 
Kitalaamu Ila sijafanya research ukiwa unafanya kazi Kama kusoma kazi Sana kuzeeka.
Yaani wewe kuwa Soma Soma uzee unachelewa Sana ndo Siri mkuu. Jaribu kuongea na Hawa waliotuletea elimu Kama una koneksheni nao Ila sio ya mirinda Mana wabongo bana akili zetu
Kumbe kusoma hakuzeeshi
Sure jaribu kucheki watu wanaofanya kqzi ya kusoma Soma like Kama mkulima lazima qlime ili apate ridhiki yake huwa ni nqdra saana kuwakuta wamezeeka ovyo.
Ujue ubongo una evolve jinsi unavyoushughlisha ni ni neuroplasticity so huwa una expand kqdri unavyofanya kqzi. Sasa sijui hii Ina relationship gani na our outlook labda watalaamu wa hayo Mambo watusaidie please
 
Wakuu.

Fanya uchunguzi mdogo wa waalimu wako waliokufundisha shule ya msingi miaka hiyo, saivi kila unaporudi likizo wapo stable , wakakamavu na strong kabisa. Ila jikague wewe mwenye umri mdogo, unazeeka na kuchoka kwa speed ya ajabu sana.

Unamkuta mwalimu mstaafu over 10 years lakini yuko fiti kabisa , wachache sana wanatumia miwani.

Check sasa mtu aliyestaafu wa kada nyingine, anachoka haraka mno na kufa mapema sana.

Nini siri ya walimu wa Shule za Msingi kuchelewa kuzeeka ?
Waalimu wote, wanafanya Kazi ya baraka pia Kazi yao hakuna wizi wa pesa na wanapata fursa ya kucheka na kutoa stress.

Ni kama wanawake ile kulia,kusemeshana na kubembeleza a na watoto,kutongozwa,kuchekeshwa na kutofanya Kazi ngumu ikiwemo kuridhishwa kimapenzi inafanya watoe stress waishi miaka mingi.

Mwanamke utakuta kanawiri tuu licha ya kutokea familia maskini na kutokuwa hata na akiba ya 10,000 kwenye simu.
 
Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.
Mkuu rudia kindergarten..ila wanalazimika kuishi maisha ya kiasi kutokana na ufinyu wa vipato..

Mtu ana salary ya 4k hadi 720 k wakati sisi wengine junior staff kabisa Kila mweI tunapata posho isiyopungua 600k Hadi 1200k so hapo ni Nje ya salary ambazo nazo zinacheza xaidi ya 1200 k Sasa hapa lazima uwe rafu kwenye matumizi hasa kula kula,umalaya nk
 
Very simple chief....
Walimuwashulezamsingiwanaishimaishayakawaidasanahawanywibeerkutokananaugumuwamaishapamojanamishaharamidogo.
Aukamavipinawekasomeeualimuwachekecheandiohautozeekaharakakulikohatamwalimuwashuleyamsingi.
Kha!!! Ulianza lini kuandika hvyo?

Mbona umeharibu mwandiko kiasi hcho?

Au siyo@ushimen huyu ninayemjua miye?
 
Jiulize kwanza kwanini walimu wengi hawanenepi ovyo wengi wao wana miili kama sio miembamba basi wastani tofauti na kada nyingine

Kiukweli wengi wanawachukulia walimu kuwa ni poa,wakisema hawana vipato vikubwa.Wewe aliyekuambia kipato cha mtu ni salary yake ni nani karne hii.Humu kuna watu hawawafikii walimu kwenye kipato hata wagategare vp japo hata walevi wanajiona wanavipato kuliko waalimu.
Kuna walimu wana magesti,mahardware,maduka ya nguo,mahoteli,wapo ma-mc,wapo wanaomiliki noah zaidi ya mbili na wapo wanamiliki mashamba kama ya mpunga,matunda,miti na maekari wanafuga na kulima.
Kwahiyo walimu sio kama mnavyowachukulia hao ni walimu wa miaka ya 70 huko.
Sababu kubwa inayowafanya wasizeeke ni kufanya kazi ya manabii.Ualimu ni moja ya kazi zinazonasibishwa na kazi za manabii kuwaelimisha na kuwaongoza watu.Kila siku mwalimu anavuna thawabu anapowahudumia watoto na anachowpa anapata thawabu kwa huyo mwanafunzi na wote watakaohudumiwa na huyo aliyepewa maarifa na mwalimu.;Sasa kwa nini mungu asimbariki miaka ya kuishi?
 
Maslahi madogo ni zoezi tosha...si walimu tu, bali watu wengi wa kada zenye maslahi duni ni kama wanapendelewa na Mungu, wanaishi muda mrefu
 
We jamaa hali duni ya maisha ndo inafanya MTU asizeeke kama hivyo wakulima wa jembe LA mkono wasingezeeka kbs
Sasa wakulima mbona nao hudumu maana yale ni mazoezi mwana
 
Which shirika mkuu!?
Ila kuna wazee wa kazi kutoka shirika fulani kubwa sana, mfanyakazi akistaafu, kwa kweli (sio utani!) akimaliza miaka mitano, huyo ni ngangari kinoma!
Wengi tumejiuliza kuna tatizo gani huko?
 
Back
Top Bottom