eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
We sio PC hii, soma tenaHayo nimatokeo ya Private candidates mkuu, mziki wamapc uuskiage tuu, hataa hivyo wamejitahidi sana.
Ni pc hao,namba zao zinaanzia na P ndio maana imeanza na P kisha secondary center lakini school candidate namba zao huanza na S na kuishia na secondary schoolWe sio PC hii, soma tena
cha ajabuuuNi pc hao,namba zao zinaanzia na p na school candidate namba za zinaanzia S
Hakuna cha ajabu ila kuna tofauti kubwa kama ilivyo 6 na 9 pc unaweza ukajisajili tu kisha ukaja kufanya mtihani tu so hata usiposoma hapo unakaja kufanya mtihani tu ila school candidate ndio wanafunzi waliosoma hapo na kufanya mtihani hapocha ajabuuu
Acha kukurupuka kijana hiyo ni kituo ya mapc usibisheWe sio PC hii, soma tena
Mkuu usiwatetee bana ina maana wanafunzi 90 wote wajisajili halafu wasisome hapoHakuna cha ajabu ila kuna tofauti kubwa kama ilivyo 6 na 9 pc unaweza ukajisajili tu kisha ukaja kufanya mtihani tu so hata usiposoma hapo unakaja kufanya mtihani tu ila school candidate ndio wanafunzi waliosoma hapo na kufanya mtihani hapo
Kuanzia leo mtu yeyote asiniite MKUU humu..
Nilivyoyaona haya matokeo nilistuka sanaKuanzia leo mtu yeyote asiniite MKUU humu..
Maana matokeo ya mkuu secondary sio yakawaida
Labda kwa sababu hao ni private candidates.Nilivyoyaona haya matokeo nilistuka sana
Nikawaza miaka ya nyuma
Nikawa najiuliza ni walimu au wanafunzi wagumu kuelewa
Mkuu naomba uipige picha vizuri hiyo school candidate unitumie
Mara nyingi katika ku assess shule inafundishaje wanatumia matokeo ya school candidate tofauti na private candidate. Hapo kwenye school candidates ndio unaona picha halisi ya shule. Private candidates huwa wanaonekana shule kipindi cha kufanya mitihani tu, wachache ndio wanafundishwa na walimu wa shule husika ila yeye akishajisajili kwamba atafanya mtihani anaenda kusoma anapopajua yeye mwisho pepa ya necta ikifika anakuja kwenye kituo alichojisajili na kufanya mitihani. So huwezi kulaumu walimu au shule kwa kuangalia matokeo ya PCs
Mkuu naomba uipige picha vizuri hiyo school candidate unitumie