Walimu wa mkuu secondary mlikuwa mnafundisha au wanafunzi vichwa vigumu? Mmeitia aibu hii shule

hahaaaaaaa kujisomea as a private candidate kunahitaji discipline sana,hivi unachaguaje somo gumu kama Physics?? hahaha
 
Huu ni msimu Wa waalimu kusimangwa sasa!!!!
Maana si kwa kufeli huku!!
 
Back
Top Bottom