PATRIOTIST
Member
- Feb 1, 2013
- 31
- 6
COMPUTECH COMPUTING TRAINING COLLEGE TUNATANGAZA NAFASI (3) ZA WALIMU WA CHUO CHA KOMPUTA (KIUME 1, NA WA KIKE 2) WENYE SIFA ZIFUATAZO.
1. ELIMU KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
2. AWE NA MAFUNZO YA KOMPUTA STAGE I-III ( certificate or diploma) kutoka chuo chochote kinachotambulika na VETA OR NACTE.
3. Awe na uwezo wa kufundisha MS EXCEL, MS WORD, MS PUBLISHER, DATA BASE na ACCESS etc pasipo mashaka yoyote.
4.MSHAHARA MAKUBALIANO KWA WENYE SIFA
5. Tuma c.v na certificate kwa email hii: computechcollege1@gmail.com or allinonetky@gmail.com
SIMU NO: 0712471333 kwa maelezo zaidi.