Walimu Uganda yenye uchumi wa chini, wanalipwa vizuri kuliko walimu wa Tanzania

VIWANGO VYA MISHAHARA KWA WALIMU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI, N.K, KWA TAKWIMU ZA MWAKA 2021.

A person working as a Teacher in Kenya typically earns around 116,000 KES per month. Salaries range from 53,300 KES (lowest) to 184,000 KES (highest).
Equivalent to;
1,068,132 TZS to 3,687,360 TZS

A person working in Teaching / Education in Uganda typically earns around 2,780,000 UGX per month. Salaries range from 1,330,000 UGX (lowest average) to 5,070,000 UGX (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
864,500 TZS to 3,295,500 TZS

A person working in Teaching / Education in Burundi typically earns around 1,250,000 BIF per month. Salaries range from 601,000 BIF (lowest average) to 2,290,000 BIF (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
691,150 TZS to 2,633,500 TZS

A person working in Teaching / Education in Rwanda typically earns around 734,000 RWF per month. Salaries range from 352,000 RWF (lowest average) to 1,340,000 RWF (highest average , actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
802,560 TZS to 3,055,200 TZS

A person working as a Teacher in Nigeria typically earns around 250,000 NGN per month. Salaries range from 130,000 NGN (lowest) to 383,000 NGN (highest) .
Equivalent to;
728,000 TZS to 2,144,800 TZS

A person working as a Secondary School Teacher in Botswana typically earns around 9,230 BWP per month . Salaries range from 4,890 BWP (lowest) to 14,000 BWP (highest ).
Equivalent to;
934,576 TZS to 2,675,680 TZS

A person working in Teaching / Education in South Africa typically earns around 33,000 ZAR per month. Salaries range from 15,800 ZAR (lowest average) to 60,200 ZAR (highest average, actual maximum salary is higher).
Equivalent to;
2,285,628 TZS to 8,708,532 TZS

Mishahara ya Walimu Tanzania ipo chini kuliko nchi zote za Afrika Mashariki hadi tunazidiwa na Uganda wenye uchumi mbovu! Serikali iweke siasa pembeni iangalie maisha ya walimu.
Nilipoona data za Burundi tu basi nikajua hii chai. Maana nina experience na Burundi nimekaa miaka mitatu Burundi ninaexperience na wafanyakazi wa Burundi.
 
Kingine kinachotia shaka, walimu kutoka kenya na uganda wamejazana kwenye shule za private zaTanzania ambazo nyingi mishahara yao kwa siku hizi ni aidha chini au sawa na viwango serikali.
 
Hii ni Kamba, nimefika nchi zote EAC. Tz wanalipa vizuri mno ukilinganisha na hizo nchi. Tuache upotoshaji.
 
Hapo unachanganya leta mishahara wa kuanzia (basic stating salary) ya mualimu wa shule ya msingi sekondari na vyuo hapo ndo utajua Tz bado tuko juu ya Kenya uganda na Rwanda
Sasa si utoe hizo data.
 
Acheni propaganda mwalimu wa Rwanda,Burundi na Uganda hawezi kumzidi mwl wa Bongo nimetembelea hizo nchi zote najua acheni kupotosha
Acha porojo. Weka viwango halisi basi ili kuthibitisha hicho ulicho kisema. Hata madereva wa malori kibao tu wametembelea hizo nchi. Hivyo hauko peke yako.
 
Hii ni Kamba, nimefika nchi zote EAC. Tz wanalipa vizuri mno ukilinganisha na hizo nchi. Tuache upotoshaji.
Kama ni kamba, basi weka viwango halisi kwa kila nchi. Kufika kwako kwenye hizo nchi, hakuna uhusiano wowote ule na hivyo viwango vya mishahara.
 
Walimu ni kada iliyotelekezwa japo ndio itoayo nusu ya viongozi wote wa nchi kuanzia raisi, makamu, Waziri mkuu , mawaziri nk Hakuna awamu isiyo na mtu ambae hakuwahi kuwa Mwalimu na shida za walimu wanazijua sababu wameziishi Magufuli na mkewe wote walikuwa na wameziishi shida za ualimu, mama salma, hawa ni kwa uchache. Sema tu ni hulka yetu tukifanikiwa kutoka kwenye shida huwa hatuwakumbi tuliokuwa nao shidani hii ni nature yetu
 
Mleta mada kuna kitu anapotosha. Walimu wa Kenya ndio wanalipwa mshahara mkubwa, kufuatia na Tanzania na Uganda ni wa mwisho. Rwanda na Burundi sijui viwango vyao.
 
Back
Top Bottom