Wamepewa walimu wangapi Hapo shuleni kwako!!?? Mpewe wawili tena Kwa matumizi yenu ...Badala ya kupewa shule Kwa matumizi ya walimu wote na bado unasifu ...wenzenu Tayari wejaza candy crush na temple runner...Ni katika pitapita zangu mitaani nimekutana na waalimu wakisema "Hatimaye tumepewa vishikwambi tulivyoahidiwa na serikali". Wanasema bila Sophia Mjema katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) vilikuwa vimepigwa.
Tunamshukuru dada yetu Mjema. Ila
1. Waliotaka kuvipiga wachukuliwe hatua kali ikiwemo kuondolewa kwenye nafasi zao.
2. Vishikwambi vilikuwa vimetangazwa wazi kuwa walimu watapewa na vikafichwa. Je maslahi mangapi ya walimu yasiyo ya wazi kkama vishikwambi yaliyofichwa?
Sasa walimu wamekuwa na imani na Chama ila serikali hawanayo imani.
Wafukuzeni matapeli wote wenye nia ovyo na Chama ili waalimu waendelee na imani kwa serikali.
Asante Mjema Mungu akubariki
Sophia mjema,amekwenda kuvunja kufuli vilipokuwa vimefungiwa au?Ni katika pitapita zangu mitaani nimekutana na waalimu wakisema "Hatimaye tumepewa vishikwambi tulivyoahidiwa na serikali". Wanasema bila Sophia Mjema katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) vilikuwa vimepigwa.
Tunamshukuru dada yetu Mjema. Ila
1. Waliotaka kuvipiga wachukuliwe hatua kali ikiwemo kuondolewa kwenye nafasi zao.
2. Vishikwambi vilikuwa vimetangazwa wazi kuwa walimu watapewa na vikafichwa. Je maslahi mangapi ya walimu yasiyo ya wazi kkama vishikwambi yaliyofichwa?
Sasa walimu wamekuwa na imani na Chama ila serikali hawanayo imani.
Wafukuzeni matapeli wote wenye nia ovyo na Chama ili waalimu waendelee na imani kwa serikali.
Asante Mjema Mungu akubariki
Jua unafuatiliwa, kukaa muda mrefu bila kugawiwa Kwa wahusika lazima utilie mashaka.Jamiiforums ndani ya kishikwambi... Nagusa tu hapa😀
Jua unafuatiliwa, kukaa muda mrefu bila kugawiwa Kwa wahusika lazima utilie mashaka.
Karne hii taarifa za shule unatuma whatsapp ,email n.k huwezi kwepa mitandao ya kijamii ndugu yangu, huwezi kwepa internet inarahisisha mambo na kusave time...Jua unafuatiliwa, kukaa muda mrefu bila kugawiwa Kwa wahusika lazima utilie mashaka.
Walimu hatuna posho ndogo ndogo , ni hadi mwisho wa mwezi mkuu... Hii ni sehemu ya motisha kwa walimu na kuendana na matumizi ya TehamaIla akili za walimu bana, yani kwenu nyie vishkwambi ni big deal mpaka mnataka kuvigeuza kua mjadala wa kitaifa. Uelewa wenu mdogo ndio mtaji wa serikali ya CCM!
Mwalimu hicho kishikwambi sio mali Yako, vipi uneshajaza MKATABA. Wenzio wengine wanatamani kuvirudisha sababu ya masharti magumu km dawa ya kienyejiWalimu hatuna posho ndogo ndogo , ni hadi mwisho wa mwezi mkuu... Hii ni sehemu ya motisha kwa walimu na kuendana na matumizi ya Tehama
Alitoa wiki moja viwe vimefika kwa walengwa. Agizo limetekelezwa na wezi waliotaka kuvipiga.Sophia mjema,amekwenda kuvunja kufuli vilipokuwa vimefungiwa au?
Sophia Mjema kapewa ofisi juzi,sasa yeye na vishikwambi wapi na wapi?
Acheni uchawa wenu wa kipumvavu!