walimu tuache utan jaman

walimu tuache utan jaman

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
ACHENI UTANI HATA KAMA MISHAHARA MIDOGO!!.Ona huu mtihan wa terminal nimeunasa shule moja
1.Rais wa Sasa wa Tanzania ni Kikwe__
A)ta (b)te (c)ti (d)to (e)tu

2.Aliyefanya Tanganyka iwe huru ni Nyere__
a)ra (b)re (c)ri (d)ro (e)ru.

3.Mlima mrefu kuliko yote Afrika ni Kilima___ro
a)nja (b) nje (c)nji (d)njo (e)nju. 4.Tanzania imepakana na bahari ya hi___ a)nda (b)nde (c)ndi (d)ndo (e)ndu.
Kama mdau wa elimu unafikiri nchi tunaipeleka wap?
 
Walimu tunadhalilishwa kiwango hiki,wallah najiudhuru,sikubali kbs kujokiwa kiwango hiki!
 
hahhahahaah!!kweli hapo ni hatari xana..!lazima sifuri ziongezeke
 
Heheh jamani waalimu washajichokea sana wanarahsiisha maisha kwa wanafunzi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom