Ahaa Mpwago yuko Mtr anapatikana sana pale nyuma ya Chico Inn karibu na mahakama ya mwanzo iliyoharibiwa na vurugu, Huyo demu anaitwa Salma nasikia yuko Dsm, hao wengine sijafahamu waliko. Mi nimemaliza na kina Fanikio chijinga, Isa Husein, Christopher Mapunda, Siraji Nalikane,Haji Mtepa aka Pasha, Rehema Ally, Rahim, Mkhama charles, Prosper Eriyo, Mohamed Chitope kwa uchache wake ni hao.