akili kama hizi anazo Mwl. Kaijage wa ACT
bangi mbaya sana. Mwalimu mwenyewe ni wa voda fasta
akili kama hizi anazo Mwl. Kaijage wa ACT
bangi mbaya sana. Mwalimu mwenyewe ni wa voda fasta
Hiyo tunduru ipo nchi gani au na wewe ndo wale wale ambao mmeridhika na unyanyasaji na ukandamizaji wa viongozi wenu wa ccm, kwa sababu kama mtu mwenye uchungu na haki yako huwez kuona dodoma ni mbali kutoka hapo tunduru. Acha mawazo ya kijanga hebu badilika wewe mwalimu unangoja nn au unadhani nani atasimama kidete kudai haki yako kama sio wewe mwenyewe,! mbona wao wanadai nyongeza ya posho kila kukicha? na hakuna cha maana wanachokifanya pale bungeni......Nitoke tunduru mpaka dodoma!! haki gani hiyo? acha aende yeye akatuwakilishe.
Wazo zur sana naunga mkono cwt wameshindw. Nafikir ht misr walianza hivhiv kutokan na ukosefu wa ajir baada ya kijan 1 kujinyonga wengin wakalipuk
Ila walm waoga cna
mkuu nimecheka kitu kimoja,anaedai haki hafanyi kama ww. We mwalim gani eti unaomba ulipiwe nauli tena ya kwenda dodoma?oh cwt tulipieni mabasi mh kwanini usitumie kidogo ulichonacho kutaftia haki yako? Manake cwt wasipoleta mabasi haki yako hudai tena? Hapo tu nshajua hujitambui kaa kimya tu
Hiyo tunduru ipo nchi gani au na wewe ndo wale wale ambao mmeridhika na unyanyasaji na ukandamizaji wa viongozi wenu wa ccm, kwa sababu kama mtu mwenye uchungu na haki yako huwez kuona dodoma ni mbali kutoka hapo tunduru. Acha mawazo ya kijanga hebu badilika wewe mwalimu unangoja nn au unadhani nani atasimama kidete kudai haki yako kama sio wewe mwenyewe,! mbona wao wanadai nyongeza ya posho kila kukicha? na hakuna cha maana wanachokifanya pale bungeni......