Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,923
Kama serikali ina pesa ya kuchezea basi mtapewa.
Kazi yenyewe haina u "nyeti" wowote kama kazi ya ulinzi,pili walimu wanafanya kazi siku chache kwa mwaka kuliko kada zingine ikiwemo kuwahi kutoka kazini
Watu Wana malikizo kibai,kila sherehe wanafunga shule ndio kazi gani hapo wanalipwa salary kubwa tena za bure