Walimu nao wapewe Posho za mwezi kama maaskari

Askar hawez mfikia Mwalimu kwa mshahara Hilo Nina uhakika nalo kabisa .kinachomboost askar Ni ile posho ambayo kwenye mafao Haina madhara yoyote Yale .

So hapa kwa upande wa mafao mwalim lazima ampige gepu kubwa Sana askar ila nae askar anakuja mpiga gepu Mwalimu kwenye kaposho tu .

Take home ya askar anaeanza Kaz Ni around 350 wakat Mwalimu grade A 360,Diploma 450,bachelor 550 hizo Ni makadirio maana sijaweka visent .
Mkuu we unajiongelea tu maisha ya askari na mwalimu hata kwa mtazamo tufauti sana walimu wanaishi maisha magumu sana mfano askari ambaye ni form 4 na graduate mwalimu fanya utafiti utaona tofauti hata mwonekano tu , pia kuhusu mishahara viwango ulivyoweka ni vya walimu wenzako askari pia wanalipwa kwa vyeo na elimu zao kuanzia form 4,six, diploma na degree na mshahara ni siri ya mtu hizo taarifa sijui unazitoa wapi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habar zenu mabibi na mababu..

Mwalimu ni mtu anaesaidia wengine kupata ujuzi, maarifa na tunu. Mwalimu ndie anaezalisha Madaktari, manesi, bwana afya, wanasiasa, wafanyabiashara n.k, na wote mnaweza kukubaliana nami kuwa bila mwalimu huenda usingeweza kusoma, kuhesabu na kuandika.

Pamoja na uzito huo alonao mwalimu lakini hakuna watumishi wa serikali wenye hali mbaya ya kiuchumi kama walimu yaani mishahara ni midogo, mikopo kwenye mabenki, hakuna nyongeza ya mshahara, hakuna kupanda madaraja, hana cha kulipwa over time, hakuna cha pesa za semina kama zamani, hakuna ata kudunduliza kupata hela ya tuisheni yani ni shida tupu zimewajaa.

Mbaya zaidi kwenye sekta ya ualimu kila mtu ni bosi wako yani hata mwenyekiti wa mtaa anaweza kuja ofisini kwako na akakugombesha na hata kukutia makofi, ni sekta ambayo imeshushiwa heshima kwa kiasi kikubwa sn.

Leo hii ukimkuta mwalimu barabarani anaongea peke yake unaweza kusema amemeza notes kumbe ni msongo wa mawazo unampeleka puta Vibaya mno akifikiria ni miaka mitano sasa lakini bado mshahara ni ule ule hakuna ata senti ya nyongeza, hajapanda daraja, anachopokea mwisho wa mwezi ni laki mbili akikatwa mkopo alochukua benki, huku ukizingatia gharama za maisha zimepanda na familia imeongezeka.

Kiukweli ukipasua vifua vya walimu utakutana na masononeko makubwa mnoo, walimu wamechooka sana ule uvumilivu walokuwa wanasifiwa nao sasa haupo tena nao ni binadamu, walimu wameshachoka na kutothaminiwa maslahi yao ni ule uoga tu wa kutosema hadharani wakihofia kupoteza ata hako kibarua. Leo hii bora ya bwana afya anaweza pata posho ya kukagua nyama na akarudi na kilo ya nyama nyumbani, heri ya maaskari wenye posho kila mwezi, heri ya watumishi wengine wenye hadi marupurupu ya overtime.. Leo hii kwa shida anazonuka mwalimu tukitaka kuwavalisha kiatu hiki cha mwalimu watumishi wengine wa serikali basi lazima kiwabane tu.

Asilimia 100% walimu waliamini kuwa kupata Rais ambae ni mwalimu kungepelekea kuboreshewa maslahi yao na mazingira ya kazi kwani anayajua yote yaliyomo kwenye sekta ya ualimu lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa mpaka walimu wanawaza ni nani sasa atakuja kuwa mtetezi wao kama sio mwalimu mwenzao.! Mara nyingi Mh Rais Magufuli amekuwa akinukuliwa akisema kuwa serikali yake haitawaacha walimu (maneno ambayo yamezoeleka masikioni mwa walimu mwaka wa 6 huu) tena anaenda mbali kwa kusema kuwa yeye ni mwalimu, mkewe ni mwalimu, waziri mkuu ni mwalimu, mkewe ni mwalimu, huku baraza lake la mawaziri likiwa limesheheni walimu mbalimbali, lakini yote haya haijawahi kamwe kuwa chachu ya kuthaminiwa maslahi ya walimu. Kiasi kwamba walimu sasa wanamkumbuka na kumlilia mh Kikwete kwa namna alivyokuwa akiwapandishia watumishi mishahara yao.

Mheshimiwa Rais Magufuli walimu wako wamekata tamaa na wamechoka na maneno yako ya matumaini yasiyozaa matunda kila siku kuwa serikali yako iko pamoja na walimu lakin wapi! kiasi kwamba wanafanya kazi ilimradi siku ziende tu lakini hawana motisha yoyote wanayoipata ili kufanya kazi kwa moyo wote. Tena walimu wako wanatamani muda wako wa kuongoza (kutawala) uishe ata kesho ili wabadilishe upepo angalau Raisi ajae anaweza kuwaona na kujali maslahi yao.

Mheshimiwa Rais John Magufuli ikikupendeza walimu nao wapate posho za kila mwezi kama maaskari ili iwe sehemu ya kuwapa motisha wachape kazi kisawasawa, na ni imani yangu walimu wakiwekewa utaratibu wa kupata posho walau laki mbili basi tutaingia katika Mapinduzi makubwa ya elimu mana walimu watafanya kazi kufa kupona na kutakuwa na ushindani na hari ya kufundisha. Mhe Raisi wahurumie Walimu wenzako wanashindwa kukwambia ukweli kwasababu wanakuogopa.

~Gai da Seboga (Mwalimu wa Kujitolea)
Kiwango cha kupiga cha walimu ni cha chini sana.
 
Kama ndivyo ilivyo kwanini huwa hamlipi nauli kwenye mabasi wakati Waalimu wanalipa??? Ukweli ni kwamba Askari siyo kama mnaheshimiwa bali mnaogopwa. Waalimu siyo kwamba wanachukiwa bali wanadharauliwa.
Matokeo yakitoka na selection kufanyika utasikia vp hujafanikiwa Post yeyote jamani hata ya Ualimu??

Ukiniona nimepanda daladala yako hata kama nimevaa uniform dai nauli ntakupa[emoji23][emoji23]
 
Habar zenu mabibi na mababu..

Mwalimu ni mtu anaesaidia wengine kupata ujuzi, maarifa na tunu. Mwalimu ndie anaezalisha Madaktari, manesi, bwana afya, wanasiasa, wafanyabiashara n.k, na wote mnaweza kukubaliana nami kuwa bila mwalimu huenda usingeweza kusoma, kuhesabu na kuandika.

Pamoja na uzito huo alonao mwalimu lakini hakuna watumishi wa serikali wenye hali mbaya ya kiuchumi kama walimu yaani mishahara ni midogo, mikopo kwenye mabenki, hakuna nyongeza ya mshahara, hakuna kupanda madaraja, hana cha kulipwa over time, hakuna cha pesa za semina kama zamani, hakuna ata kudunduliza kupata hela ya tuisheni yani ni shida tupu zimewajaa.

Mbaya zaidi kwenye sekta ya ualimu kila mtu ni bosi wako yani hata mwenyekiti wa mtaa anaweza kuja ofisini kwako na akakugombesha na hata kukutia makofi, ni sekta ambayo imeshushiwa heshima kwa kiasi kikubwa sn.

Leo hii ukimkuta mwalimu barabarani anaongea peke yake unaweza kusema amemeza notes kumbe ni msongo wa mawazo unampeleka puta Vibaya mno akifikiria ni miaka mitano sasa lakini bado mshahara ni ule ule hakuna ata senti ya nyongeza, hajapanda daraja, anachopokea mwisho wa mwezi ni laki mbili akikatwa mkopo alochukua benki, huku ukizingatia gharama za maisha zimepanda na familia imeongezeka.

Kiukweli ukipasua vifua vya walimu utakutana na masononeko makubwa mnoo, walimu wamechooka sana ule uvumilivu walokuwa wanasifiwa nao sasa haupo tena nao ni binadamu, walimu wameshachoka na kutothaminiwa maslahi yao ni ule uoga tu wa kutosema hadharani wakihofia kupoteza ata hako kibarua. Leo hii bora ya bwana afya anaweza pata posho ya kukagua nyama na akarudi na kilo ya nyama nyumbani, heri ya maaskari wenye posho kila mwezi, heri ya watumishi wengine wenye hadi marupurupu ya overtime.. Leo hii kwa shida anazonuka mwalimu tukitaka kuwavalisha kiatu hiki cha mwalimu watumishi wengine wa serikali basi lazima kiwabane tu.

Asilimia 100% walimu waliamini kuwa kupata Rais ambae ni mwalimu kungepelekea kuboreshewa maslahi yao na mazingira ya kazi kwani anayajua yote yaliyomo kwenye sekta ya ualimu lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa mpaka walimu wanawaza ni nani sasa atakuja kuwa mtetezi wao kama sio mwalimu mwenzao.! Mara nyingi Mh Rais Magufuli amekuwa akinukuliwa akisema kuwa serikali yake haitawaacha walimu (maneno ambayo yamezoeleka masikioni mwa walimu mwaka wa 6 huu) tena anaenda mbali kwa kusema kuwa yeye ni mwalimu, mkewe ni mwalimu, waziri mkuu ni mwalimu, mkewe ni mwalimu, huku baraza lake la mawaziri likiwa limesheheni walimu mbalimbali, lakini yote haya haijawahi kamwe kuwa chachu ya kuthaminiwa maslahi ya walimu. Kiasi kwamba walimu sasa wanamkumbuka na kumlilia mh Kikwete kwa namna alivyokuwa akiwapandishia watumishi mishahara yao.

Mheshimiwa Rais Magufuli walimu wako wamekata tamaa na wamechoka na maneno yako ya matumaini yasiyozaa matunda kila siku kuwa serikali yako iko pamoja na walimu lakin wapi! kiasi kwamba wanafanya kazi ilimradi siku ziende tu lakini hawana motisha yoyote wanayoipata ili kufanya kazi kwa moyo wote. Tena walimu wako wanatamani muda wako wa kuongoza (kutawala) uishe ata kesho ili wabadilishe upepo angalau Raisi ajae anaweza kuwaona na kujali maslahi yao.

Mheshimiwa Rais John Magufuli ikikupendeza walimu nao wapate posho za kila mwezi kama maaskari ili iwe sehemu ya kuwapa motisha wachape kazi kisawasawa, na ni imani yangu walimu wakiwekewa utaratibu wa kupata posho walau laki mbili basi tutaingia katika Mapinduzi makubwa ya elimu mana walimu watafanya kazi kufa kupona na kutakuwa na ushindani na hari ya kufundisha. Mhe Raisi wahurumie Walimu wenzako wanashindwa kukwambia ukweli kwasababu wanakuogopa.

~Gai da Seboga (Mwalimu wa Kujitolea)
Posho za maaskari zenyewe zikoje?
 
Askar hawez mfikia Mwalimu kwa mshahara Hilo Nina uhakika nalo kabisa .kinachomboost askar Ni ile posho ambayo kwenye mafao Haina madhara yoyote Yale .

So hapa kwa upande wa mafao mwalim lazima ampige gepu kubwa Sana askar ila nae askar anakuja mpiga gepu Mwalimu kwenye kaposho tu .

Take home ya askar anaeanza Kaz Ni around 350 wakat Mwalimu grade A 360,Diploma 450,bachelor 550 hizo Ni makadirio maana sijaweka visent .
Sasa wewe una uhakika kama hayo mafao utayapata?

Kwa hiyo walimu wasubirie mafao ili waweze kuishi maisha mazuri?
 
Nimeishi na Dem Askar Askar nao njaa Kali tu asikudanganye mtu labda ubahatike uwe kitengo Cha barabaran au Doria za mara kwa mara hapo pesa ipo tofaut na hapo Ni hamna kitu maisha yao Ni sawa na Mwalimu tu ,coz jumla posho na mshahara kwa pamoja haivuk laki Saba wanachezea laki sita na vitoto na ukumbuke hiyo posho kwenye mafao haihesabik kabisa .
Kwa hiyo walimu na askari ndio wanaongoza kupokea mishahara midogo?
 
Mkuu we unajiongelea tu maisha ya askari na mwalimu hata kwa mtazamo tufauti sana walimu wanaishi maisha magumu sana mfano askari ambaye ni form 4 na graduate mwalimu fanya utafiti utaona tofauti hata mwonekano tu , pia kuhusu mishahara viwango ulivyoweka ni vya walimu wenzako askari pia wanalipwa kwa vyeo na elimu zao kuanzia form 4,six, diploma na degree na mshahara ni siri ya mtu hizo taarifa sijui unazitoa wapi.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Bora umuambie maana yeye amezungumza kutoka kwa experience ya mtu mmoja , ndio akatumia kujudge kundi zima la askari
 
Jambo la kujiuliza kwa nini posho za watumishi zilipigwa panga, posho za nyumba, umeme, maji, usafiri kwenda na kurudi kazini. Jambo la msingi ni kupigania posho zote zirudi kwa watumishi wote wa umma na ziainishwe kwenye salary slip. Kuna kipindi nilifanya kazi kwa mhindi, pamoja na mshahara kuwa mdogo bado alikuwa ameainisha posho; nyumba na usafiri. Ninachokiona serikali inaogopa aibu ya kuanisha posho mbalimbali kwa sababu ya mishahara kuonekana kiduchu.
 
Hivi mkuu ulishawahi kuona Mafunzo askari..je unajua kwamba hawapandi vyeo hadi warudi depo mziki mnene?Unajua wana kitu standby ambapo wanaweza kuwa mbali na familia kwa zaidi ya mwezi
 
Kwa Serikali ya Botswana labda sio hii ya Mitano tena
 
Hahahahh wa shule ya msingi je
Kaka wewe nilikuwa nakuchukulia msomi kumbe zero.

Mchizi wangu kaajiliwa ni shule ya msingi juzi kati alikuwa anachukua 56000 take home wakati anaanza kazi .

Diploma. Uyo

Sasa wewe kalio kusema laki 3 wakati iyo laki 3 ni ya kujikimu kabla hajapewa mshahara ya kuanzina maisha.

Kuna watu wanalipwa million nani primary teachers mzee.

Mwalimu mkuu ana posho ya madaraka laki 2 kila mwezi. Primary hiyo
 
Mi sio google ndugu kwamba najua kila kitu.
 
Mwalimu wa chet ndie analipwa 360 take home ila degree anayeanza Kaz Ni 716000 take home Ni laki tano na vitoto huko ,askar Hana mshahara wa kumzid Mwalimu hata yule wa chet tu wanaringana ,askar ana boostiwa na posho anayopata ambayo Ni around 300k lakin kwenye mafao askar hamgus mwalimu hata kidogo
We Lofa Acha kuongopea watu!!! Hivi unaujua mshahara wa askar wwe!!!

Askari analipwa kutokana na Cheo alichonacho pamoja na Elimu yake!!

Kiufupi Askari mishahara imepishana ... Unaweza mkuta askari hana cheo ..lakin elimu yake anakula sawa na mweny nyota:

Uwezi linganisha mshahala wa Askari Form four ..coplo na Mwalimu senior mwenye Bachelor'
 
Mshahara wa mwalimu na askari ni sawa kabisaaaa...... Kama huyu mwalimu anahitaji tumuongezee posho afanye yafuatayo

Kama ilivyo askari...
Akubali kufundisha usiku kama ambavyo askari ana zamu za ulinzi usiku na doria za mara kwa mara.

Awe kazini siku saba za wiki kama ambavyo jumamosi na juma pili vituo vya polisi na majeshi yapo kazini.

Akubali standby muda wowote ya siku zaidi ya 30 bila kuiona familia yake.

Kama mwalimu hatakubaliana na haya afanye yafuatayo.
Atumie muda wake wa ziada kutengeneza kipato na wapo wengi waliofanikiwa kwa mfumo huu.. ingia asubuhi toka sa nane tafuta kazi ya ziada. Wengine wana hadi shift wanafanya kazi kwa masaa manne tu kwa siku.

Waboreshe taasisi zao ikiwemo Benki ya walimu iwe ni sehemu pekee kwao kukopa na kwa riba nafuu...

CWT waiondoe katika mfumo wa chama kwa.maslahi yao vinginevyo wasitegemee mimi mfanyakazi wa TANAPA ntawasema.

Kila la kher mwalimu katika kutafuta mabadiliko
Hakuna jipya katika hayo uliyosema, walimu wa shule za bording wanafanya kazi masaa 24...labda tu hujui....

Na siku 7 za juma lazima wako kazini...watoto wa watu huwezi kuwaacha ,eti muda wa kazi ni masaa 8, haipo.

Labda basi kama haiwezi kuwapa walimu wote posho ya kati kati ya mwezi, wawape walimu wa shule bording wana majukum kama yote
 
Askar hawez mfikia Mwalimu kwa mshahara Hilo Nina uhakika nalo kabisa .kinachomboost askar Ni ile posho ambayo kwenye mafao Haina madhara yoyote Yale .

So hapa kwa upande wa mafao mwalim lazima ampige gepu kubwa Sana askar ila nae askar anakuja mpiga gepu Mwalimu kwenye kaposho tu .

Take home ya askar anaeanza Kaz Ni around 350 wakat Mwalimu grade A 360,Diploma 450,bachelor 550 hizo Ni makadirio maana sijaweka visent .
Akari ana posho 300k
Hela ya vunywaji 100k
Pango 15%
Hapo hujagusa graduate ya ujuzi 15%
Hapo nje ya mshahara
 
Back
Top Bottom