Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.

Yani watumishi wa Umma hasa hawa walimu wanaopewa nafasi za kusimamia uchaguzi na kuipa ccm ushindi inabidi mambo yaende hivi hivi mpaka tuongee lugha moja