Walimu msipojirekebisha tutawatenga

Walimu njooni! Kumekucha huku!
@Tate Mkuu huwa nakushangaa sana nakuona mnafiki unashindwa kuwaambia ukweli badala yake unawakingia kifua na kuwasifia ilihali wanaishi maisha ya kutupwa. Mwalimu ni mtu wa hovyo sana hapa bongo. Watumishi wengine wakiwa wanaomba likizo hata kama zisizo na malipo ili wakae na Familia na kufanya michakato mingine ila walimu wanaomba shule zisifungwe waendelee kufundisha Bure khabisa wakati wa likizo

Hawapewi extraduty Wala Overtime allowance wao powa tuu wanasema darasa la nne na lasaba hamtafunga, from two na form four hamtafunga , serikali inasema wanafunz wote wafunge wao hawataki. Kweli hawa viumbe ni mapunda ahsee
 
Hawa viumbe sijui akili zao zikoje, huwa wanaambukizana akili mbovu utadhani wanakunywa maji ya kisima kimoja. Moja akifanya upuuzi wake wote wanaigana, huyu akikopa na yule anakopa, mwisho wa siku wanalemewa na madeni na kuiona kazi ya ualimu ni chungu kumbe kosa ni kuigana ujinga
 
Yani mwalimu ni kiumbe wa ajabu sana, kucha Kutwa madeni tuuu. Mwezi jana Kuna mwalimu mkoa flani alitolewa darasani na polisi akiwa kapigwa tanganyika jeck Kwa sababu hataki kumlipa mangi deni la laki mbili

Tulipouliza alikopaje kumbe huwa anakopa kila siku dagaa na chumvi kulipa halipi. Walimu wamekuwa wahanga wa mikopo kausha damu ila hawajali maana shida ni sehemu ya maisha Yao. Wateja namba moja wa MABOTO na Umoja loan ni walimu

Kuna siku nilikuwa Bukoba mjini nikaona ofisi imeandikwa tunakopesha walimu tu. Jiulize kwann wanakopesha walimu tu kada zingine hawataki, jibu ni kwamba mwalimu ni rahisi kumburuza na kumdanganya, hawasomi mikataba ya mikopo wao wanafocus pesa tu hata kama ni riba kubwa kiasi gn

Juzi Kuna mwalimu analalamika alikopa mkopo maboto laki tano huu mwaka wa tatu hauishagi, wanakata tu kila mwezi inafika hata million tano mpaka saizi.

Walimu mikopo bila malengo ni hasara, usichukue mkopo kujenga nyumba Bali kaendeleze biashara yako iliyokua na imekubali. Vinginevyo mtabaki masikini wa kutupwa jalalani
Nasikia walikusomea albadir upate life ban lakini kumbe ilikuwa dua feki😀
 
Hawa viumbe sijui akili zao zikoje, huwa wanaambukizana akili mbovu utadhani wanakunywa maji ya kisima kimoja. Moja akifanya upuuzi wake wote wanaigana, huyu akikopa na yule anakopa, mwisho wa siku wanalemewa na madeni na kuiona kazi ya ualimu ni chungu kumbe kosa ni kuigana ujinga
Kumbe umewatambua. Ndio maana Mc pilipili, gala B, na Oscar Oscar walikimbia baada ya kujitambua
 
@Tate Mkuu huwa nakushangaa sana nakuona mnafiki unashindwa kuwaambia ukweli badala yake unawakingia kifua na kuwasifia ilihali wanaishi maisha ya kutupwa. Mwalimu ni mtu wa hovyo sana hapa bongo. Watumishi wengine wakiwa wanaomba likizo hata kama zisizo na malipo ili wakae na Familia na kufanya michakato mingine ila walimu wanaomba shule zisifungwe waendelee kufundisha Bure khabisa wakati wa likizo

Hawapewi extraduty Wala Overtime allowance wao powa tuu wanasema darasa la nne na lasaba hamtafunga, from two na form four hamtafunga , serikali inasema wanafunz wote wafunge wao hawataki. Kweli hawa viumbe ni mapunda ahsee
Kazi ya ualimu ni ya wito! Kazi ya ualimu inahitaji uwe mzalendo wa kweli na mtu wa kujitoa. Hivyo tunatakiwa kuwatia moyo walimu, na siyo kuwakatisha tamaa.

Walimu wanatakiwa kufundisha remidial classes mpaka usiku! Walimu wanatakiwa kushinda shuleni kutwa nzima hata kama hawana vipindi! Walimu wanatakiwa kufanya kazi mbalimbali za serikali kwa posho kidogo, au hata isiwepo kabisa! Maana huo ndiyo uzalendo wenyewe.

Hata Rais wa kwanza wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alikuwa ni mzalendo wa kweli; ni kwa sababu tu alikuwa ni mwalimu. Hivyo ndugu Mpwayungu Village, jitahidi kuwaheshimu walimu waliokufikisha hapo ulipo. Ukiwadharau, utapata laana.

Hiyo mikopo walimu wanakopa ili kupambana na ukali wa maisha mtaani. Wengi wao wanatumia muda mwingi kufanya kazi, na mwisho wa mwezi wanapewa mshahara usioweza kutatua changamoto zao zote.

Wabunge wanapiga tu meza, makofi na vigelgele kule Bungeni, halafu mwisho wa mwezi wanakunja milioni 12! Achilia mbali miposho kila siku! Mwalimu anahangaika na watoto miaka nenda, analipwa laki 6! Huku akiwa hana posho ya aina yoyote ile ya kumsaidia kupunguza majali ya maisha. Posho zinatolewa kwa wakuu/walimu wakuu, na waratibu wa elimu; ambao kwa sasa wamejigeuza kuwa nyapara wa hao walimu! Kwa hali hii, kwa nini wasikope, ili kupunguza ukali wa maisha?
 
Natamani siku uwe kiongozi mkubwa sana wa kisiasa ilu uelewe baadhi ya mabo KWA kina!!

Ugumu wa maisha waliyonayo walimu ninmchongo kama ilivyo kwa maaskari na wengineo!!

Una fikiria wakiwa na mitaji mikubwa nan atafundisha mkuu!!?!!

Huo ujinga na utii kama kondoo ni vipato vidogo walivyopangiwa na hao wafanya maamuzi mkuu!!

Elewa HIVYO utani shukuru baadae,huo ujinga ndio mpangokazi wa serikali kwao ILI wawe hivyo we UNAFIKIRI mwalimu yupovhuko porini anafundisha tena bila kusimamiwa ipasavyo na wanafunzi wanafaulu UNAFIKIRI NANI kawafanya kuwa watii HIVYO!!?
 
Yani mwalimu ni kiumbe wa ajabu sana, kucha Kutwa madeni tuuu. Mwezi jana Kuna mwalimu mkoa flani alitolewa darasani na polisi akiwa kapigwa tanganyika jeck Kwa sababu hataki kumlipa mangi deni la laki mbili

Tulipouliza alikopaje kumbe huwa anakopa kila siku dagaa na chumvi kulipa halipi. Walimu wamekuwa wahanga wa mikopo kausha damu ila hawajali maana shida ni sehemu ya maisha Yao. Wateja namba moja wa MABOTO na Umoja loan ni walimu

Kuna siku nilikuwa Bukoba mjini nikaona ofisi imeandikwa tunakopesha walimu tu. Jiulize kwann wanakopesha walimu tu kada zingine hawataki, jibu ni kwamba mwalimu ni rahisi kumburuza na kumdanganya, hawasomi mikataba ya mikopo wao wanafocus pesa tu hata kama ni riba kubwa kiasi gn

Juzi Kuna mwalimu analalamika alikopa mkopo maboto laki tano huu mwaka wa tatu hauishagi, wanakata tu kila mwezi inafika hata million tano mpaka saizi.

Walimu mikopo bila malengo ni hasara, usichukue mkopo kujenga nyumba Bali kaendeleze biashara yako iliyokua na imekubali. Vinginevyo mtabaki masikini wa kutupwa jalalani
Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.

No wonder watoto wetu wanazidi kuwa wapuuzi licha kubeba degree.
 
Kazi ya ualimu ni ya wito! Kazi ya ualimu inahitaji uwe mzalendo wa kweli na mtu wa kujitoa. Hivyo tunatakiwa kuwatia moyo walimu, na siyo kuwakatisha tamaa.

Walimu wanatakiwa kufundisha remidial classes mpaka usiku! Walimu wanatakiwa kushinda shuleni kutwa nzima hata kama hawana vipindi! Walimu wanatakiwa kufanya kazi mbalimbali za serikali kwa posho kidogo, au hata isiwepo kabisa! Maana huo ndiyo uzalendo wenyewe.

Hata Rais wa kwanza wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alikuwa ni mzalendo wa kweli; ni kwa sababu tu alikuwa ni mwalimu. Hivyo ndugu Mpwayungu Village, jitahidi kuwaheshimu walimu waliokufikisha hapo ulipo. Ukiwadharau, utapata laana. Hiyo mikopo walimu wanakopa ili kupambana na ukali wa maisha mtaani. Wengi wao wanatumia muda mwingi kufanya kazi, na mwisho wa mwezi wanapewa mshahara usioweza kutatua changamoto zao zote.

Wabunge wanapiga tu meza, makofi na vigelgele kule Bungeni, halafu mwisho wa mwezi wanakunja milioni 12! Mwalimu anahangaika na watoto miaka nenda, analipwa laki 6! Kwa nini usikope, ili kupinguza ukali wa maisha?
Wito na Uzalendo iwe kwa walimu tu? Kila mmoja katika nchi anatakiwa kuwa mzalendo. Sio kunyonya watu wachache na kuwapa maneno ya ulaghai kuwa wawe Wazalendo wakati katika nchi ileile kuna watu wana neema utadhani ni nchi mbili tofauti. Sio walimu tu, watumishi wengi wa umma wanaishi maisha below the standard. Wengi wao hawawezi ku-afford hata bills za kawaida kabisa za kila mwezi licha ya kuwa na ajira. Kila siku unaambiwa kuna tume imeundwa sijui kufuatilia mishahara, sijui michakato, sijui nini na nini. Unyonyaji mtupu na usanii sanii mwingi. Mtu mwenye ngozi nyeusi ni kiumbe cha ajabu kabisa. Inakera sana wakati mwingine na inabidi hata kutumia maneno makali.

Nchi za wenzetu wanajitahidi ku-standardize vipato vya raia wake ila sie tunakomea kusababisha kuwepo kwa gap kubwa kati la wenye nacho na la wasio nacho kwa kisingizio cha umaskini wa kutengenezwa unaoweza kuepukika kabisa.

Mie nawashauri walimu na watumishi wengine hasa ambao ndio wameanza ajira zao kuweka kipaumbele suala la ufugaji angalau Ng'ombe wa maziwa na kuku wa nyama au mayai iwe kipaumbele kikubwa zaidi kuliko mambo mengine yoyote yale. Kuliko sijui ku-plan kuoa au kuolewa, au kujenga nyumba, fanya juu chini kuhakikisha unapata elimu sahihi ya ufugaji kisha uhakikishe nyumbani kwako unafuga Ng'ombe wa maziwa na kuku ili kuepukana na fedheha za malipo duni kabisa ya wenye mamalaka wanaofanya maksudi kuwaletea umaskini watu wake.
 
Walimu ndiyo kada inayotapeliwa kirahisi sana nchi hii kuliko kada nyingine yoyote.

No wonder watoto wetu wanazidi kuwa wapuuzi licha kubeba degree.
Utapeli sio KWA walimu tu mkuu hata viongozi wa nchi wanatapeliwa sana!!

We fikiria mikataba ya hovyo inayosainiwa na viongozi KWA Rushwa za mapesa na mapato fulani yanaendana na anachopata mwekezaji!!?

Huo ni utapeli KWA Taifa na KWA JAMHURI SASA mtumishi wa umma anashindwaje kutapeliwa !!?hata mabenki ya hapa nchini yanatapeli watu KWA riba za mchongo!!

Utapeli upo sema ni ngumu kuu detect yadi uwe akili kubwa ndio utaweza ku detect utapeli!!!

Hapa tulipo tambua mitandao ya sim inatutapeli KILA siku vocha zetu KWA bando za mchongo tunazotumia HUMU!!
 
Back
Top Bottom