Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,303
- 29,867
- Thread starter
- #21
Achana nae bhnaa muhuni tu huyoKwani Mpwayungu naye alisotea kupata ualimu akakosa? au ndo maana anatoa sana povu kwa walimu...
Achana nae bhnaa muhuni tu huyoKwani Mpwayungu naye alisotea kupata ualimu akakosa? au ndo maana anatoa sana povu kwa walimu...
Mpwayungu njoo huku utoe ufafanuzi.....kumbe uliupenda sana ualimu lakini baada ya kukosa imekuwa sizitaki mibichi hizi.Alisotea na alikosa, Sasa anajipa matumaini hewaaa
Kwahiyo tuendelee kuona wanapata msoto au tupaze sauti wawe na wao wanapewa poshoNitaonyesha ubinadamu kwani Mimi pia hua nina uhitaji, so try to have some respect towards people
Ameamua kuvunja sheria ya moja ya tatu lazima ATM card yako iko kwa wadau wa maendeleo akina chogo creditWaalimu wanakopa sana aisee dah. Yn kuna jamaa madeni imefika point kwnye mshahara anabaki na 70 elfu tu. Na ni mwalimu wa degree.
Hiyo kubwa mbona, mwamakula anasema Kuna benki zinachukua mshahara wa mwalimu woooteWaalimu wanakopa sana aisee dah. Yn kuna jamaa madeni imefika point kwnye mshahara anabaki na 70 elfu tu. Na ni mwalimu wa degree.
Hhhahaha hawajaliAmeamua kuvunja sheria ya moja ya tatu lazima ATM card yako iko kwa wadau wa maendeleo akina chogo credit
Anataka kukutoa kwenye reli ya kupiga spana......ila uzuri wa walimu wao ni wengi, wakihitaji jambo lao hawawezi kushindwa.Achana nae bhnaa muhuni tu huyo
NashangaaAnataka kukutoa kwenye reli ya kupiga spana......ila uzuri wa walimu wao ni wengi, wakihitaji jambo lao hawawezi kushindwa.
Serikali inawapa nafasi waliofeli kuwa walimu ili iwamanage, hata polisi wanaenda waliofeli nasimbachawene alisema tunataka polisi aliyefeliWALIMU HAWAJITAMBUI,, NI WAOGA SANA SIJUI WANA SHIDA GANI??? NDIO MAANA INASEMEKANA WENGI WAO NI WATU WALIOFELI NDO WAKAKIMBILIA KWENYE UALIMU.
KIBAYA ZAID WANATUMIWA NA SERIKALI WAKATI WA UCHAGUZI KUIBA KURA BAADAE WANAANZA KULALAMIKA
Mkuu si hata weww ulikosa ajira ya ualimu kule lindi??.Kwahiyo tuendelee kuona wanapata msoto au tupaze sauti wawe na wao wanapewa posho
Mkuu sidanganyi kitu, hata huyo mbwa njugu anajua hili. But still anajipa imani hewaAnataka kukutoa kwenye reli ya kupiga spana......ila uzuri wa walimu wao ni wengi, wakihitaji jambo lao hawawezi kushindwa.
Hawezi kukujibu hapaMkuu si hata weww ulikosa ajira ya ualimu kule lindi??.
Hata katika waliotuma maombi ya kupata ajira si nawe ni mmoja wao, nini kinakufanya uwatukane
Tuheshimiane Wapi nilisema mimi ni mwalimu by proffesionMkuu sidanganyi kitu, hata huyo mbwa njugu anajua hili. But still anajipa imani hewa
Msikope acha ubishi mnakopa mpaka 1/3Bila mikopo watoto wetu hawawezi kusoma,naomba mlielewe hilo
Uzi wako wa kwenda lindi, na kule kwenye thread ya kutafuta ajira kada ya walimu . Kilikua kinakuliza kipiiTuheshimiane Wapi nilisema mimi ni mwalimu by proffesion
Kwahyo unataka wanetu wasisome sio!Msikope acha ubishi mnakopa mpaka 1/3