Walimu msiilaumu CHADEMA!

Vmatongo

Senior Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
158
Reaction score
240
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu nchini. Nilipojaribu kufanya ka utafiti kadogo kwa nini Chadema hawashobokei hili jambo.

Haya ndio yalikuwa majibu, walimu ndio mabingwa wa kuhujumu uchaguzi, uwizi wa kura huwa wanatumika wao wakishirikiana na polisi.

Kwa hiyo kuingilia hili jambo ni kama kuwasaidia Polisi na walimu. Kwa maneno mafupi Chadema wameamua kila afe na bakuli lake kama ambavyo wao huwa wanakufa!
 
Stop that nonsense of involving Chadema in this rubbish affair
 
Uache uzushi.
Wapi CWT wameilaumu Chadema?
 
Umekuta mama yako mwalimu akilaumu unaanza kuhusisha walimu wote!! Ni msemaji gani wa walimu unayemfahamu aliyelaumu?
 
Hao walimu wakipigwa na kitu kizito ndo wanaikumbuka chadema! mbona kwenye uchaguzi wao na policccm ndo wanaowapitisha ccm bila kupingwa
 
Siku hizi mods wa JamiiForums wamekuwa wakiruhusu hata mada za hovyo kama hii!!? Hawaoni kuwa wanalishushia hadhi jukwaa hili ambalo limejijengea heshima kubwa?
 
Umekuta mama yako mwalimu akilaumu unaanza kuhusisha walimu wote!! Ni msemaji gani wa walimu unayemfahamu aliyelaumu?
Nilikuambia walimu mna tatizo. Haya na huyu nae mtamtukana?
 
Mada na chuki dhidi ya walimu zimekuwa nyingi sana siku hizi, inaonekana kuna watu wanapata furaha kwa kutukana walimu.
 
True ni walimu na police ndio uisaidia ccm kuiba kura, so wapambane na hali zao.
 
Mada na chuki dhidi ya walimu zimekuwa nyingi sana siku hizi, inaonekana kuna watu wanapata furaha kwa kutukana walimu.
Maandiko yanasema ' Ole wake yule amtukanaye aliyempa elimu na Sasa yu mjuzi kupitia maarifa aliyoyapata kwayo'. Ana laana maturubai [emoji1787][emoji28]
 
Walimu wa nchi gani? Walimu wa Tanzania Mei Mosi walijitambulisha wao ni wanaccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…