Kilimbatz JF-Expert Member Sep 15, 2020 4,334 5,838 Oct 15, 2020 #1 Kwa walimu walio kwenye shule za kifundishia viziwi naomba mnisaidie materials zifuatazo: 1. Mtahala wa Kufundishia kwa awali na shule za msingi 2. Vitabu vya Kiada na Ziada 3. Vitabu vya Rejea Ningependa kujifunza zaidi kupitia kwenu
Kwa walimu walio kwenye shule za kifundishia viziwi naomba mnisaidie materials zifuatazo: 1. Mtahala wa Kufundishia kwa awali na shule za msingi 2. Vitabu vya Kiada na Ziada 3. Vitabu vya Rejea Ningependa kujifunza zaidi kupitia kwenu