Walimu mnaofundisha Viziwi, naomba msaada wa Materials za kufundishia Viziwi

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Kwa walimu walio kwenye shule za kifundishia viziwi naomba mnisaidie materials zifuatazo:

1. Mtahala wa Kufundishia kwa awali na shule za msingi
2. Vitabu vya Kiada na Ziada
3. Vitabu vya Rejea

Ningependa kujifunza zaidi kupitia kwenu
 
Back
Top Bottom