Walimu mnalia nini wakati mliyataka wenyewe enh!!!!!

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
Nimekumbuka wakati tukiwa wadogo wanafunzi wa madarasa ya chini chini hivi tulipenda sana kutunga walimu majina.

Nakumbuka mwalimu wangu mmoja mkali kweli kwa hesabu tulimwita ALJEBRA sijuiiii ni kwa nini mana alisomesha topic zaidi ya hiyo lakini jina likawa ndo hilo. kamchezo hako kaliendelea tu wengine tuliwaita MAJIMAJI, ALIBABA, CHIMPANZEE, MENTUATION CIRCLE, MW. DOGO NK.

EH BWANA WE ACHA TU. MANAmo mwaka 2002 niliomba ualimu wa muda katika shule moja hivi nikiwa ni mwalimu wa geographia kwani unadhani ilichukuwa muda????? DUH WAnafunzi acha tu wakanibamiza jina la RIVER BASIN aiseeeeeeee kimya kimya hadi msamaria mmoja akanieleza. sikujua cha kufanya nikaona nikimbilie chuo tu sikurudi tena.

Najua tuko wengi ila tuvumilie tu kwani hata sisi enzi za mwalimu tulifurahia tena sanaaa kuwaita walimu wetu majina machafu.
 
huyu atakuwa ni mwalimu wa biology.. pole zake sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom