Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,418
Kwanini uwe part ya hiyo dhuluma? Kwa zuri lipi?Mkuu kwa hiyo tusiombe kazi kisa kuna watu watadhulumiwa? Wasingeomba wao dhuluma isingefanyika?
Bora hata hao maaskari kwa utawala huu wamepata motisha wanapewa posho ya kutosha na pesa za fidia ya vinywaji kwa mwezi anaingiza laki nne isiyokuwa na makato na nje ya mshaara,sasa hao walimu wana motisha gani ya kujitoa ufahamu?Walimu
Polisi
Hawa watu sio bure aisee
Choka mbaya kivip mkuu.hawana mishahara?Ukikutana na mtu akakwambia ye ni mwalimu mwangalie mara mbili mbili.
Walimu ni choka mbaya
Hili jambo ni jipya kwangu. Kumbe walimu ni Failures?Ndiyo maana waliokuwa wanaingia ualimu walikuwa failures - wengi wao Division 4.
Inabidi uelewe jomba,kwenye tangazo la kazi iliandikwa hiyo pesa, hizo nyingine walizopewa ni bonasi baada kufanya kazi nzuri waliyoelekezwa.Mtoa mada huna unachokijua,kwa bahati nzuri niko karibu na walimu kutokana na shughuli zangu,kwa taarifa yako hyo pesa uliyotaja elfu 70 zidisha mara tano..
Hao walimu unaowaita failures waliokusaidia mpaka ukajua kupenga kamasi na kuandika huu ujingaNdiyo maana waliokuwa wanaingia ualimu walikuwa failures - wengi wao Division 4.
Ualimu hasa shule ya msingi heshima hamna tena huku mitaani, hata kukopa kwa mangi imekua shida.Kujitambulisha kuwa ni mwalimu siku hizi si fahari sana ni aibu,bora ujitambulishe mkulima