Walimu mjipange kazi mnayo

Walimu mjipange kazi mnayo

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,649
Reaction score
6,485
Hii ni baada ya mheshimiwa kutangaza shule zifunguliwe ila wanafunzi wawe wanavaa barakoa. Hivi ndivyo itakavyo kuwa.
20200519_142245-1.jpg
 
Walimu tuna shidaaa...ufundishe...uamue kesi...ufariji...bila kusahau kuchapa viboko...yote huyo huyo mwalimu tu

"corona ipo tuchukue tahadhari"
[emoji23][emoji23]Poleni sana asee
 
Hii ni baada ya mheshimiwa kutangaza shule zifunguliwe ila wanafunzi wawe wanavaa barakoa. Hivi ndivyo itakavyo kuwa. View attachment 1454072
Sijui bora hii....maake sie tuaondelea kufundsha kuptia meet ya google classroom ni shiada tupu.................unaelezea point unashangaa mwanafunzi anaturn on microphone yake msikie wimbo mara tetema, mara ikamate, mara teamo ya rayvan,mara gusanisha..................yani ni kero tupu.
 
Walimu tuna shidaaa...ufundishe...uamue kesi...ufariji...bila kusahau kuchapa viboko...yote huyo huyo mwalimu tu

"corona ipo tuchukue tahadhari"
Hakuna kumsikiliza mtoto hapo, ni kupiga pindi kwa spid ya umeme.
 
Nimebakia nacheka tu. Mana kama vitoto vya la kwanza uwiii.

Yaani walimu watakuwa hawafundishi bali kuamua kesi za barakoa. 😅
 
Huyo chalii alievaa machoni kama miwan katisha sna[emoji41]
 
Back
Top Bottom