fatherliva
Member
- Jun 11, 2022
- 18
- 24
Ni dhahiri nchi yetu haithamini wataalamu kama wanasiasa,unaweza kupitia vigezo vya mtu kuwa mbunge katka katiba yetu ibara ya 67(1) alafu ulinganishe stahiki zake na watalaamu hususani sekta ya afya na elimu.
Hivi sasa kuna madaktari wanaojitolea katika hospitali mbalimballi nchini na walimu wanaojitolea katika shule za umma .Wamekuwa wanalipwa kiasi kidogo cha fedha na muda mwingine hawalipwi kabisa.
RAI yangu kwao wajitafakari kama hakuna ulazima ni bora ukauze genge au upige bodaboda kuliko kufanya kazi ambayo serikali /taasisi hawaoni umuhimu wako.