Walimu hasa hawa wa mijini sasa wanasikitika baada ya tuition kufutwa kwa sababu zifuatazo.
-Zilikuwa zinawapa ahueni ya maisha.
- Mikopo kukatwa iliwapa unafuu wa maisha.
- Maji ya chooni, walinzi, umeme, rim, mitihani ya asubuhi na weekend hasa jumamosi.
- Walimu waliipenda kazi
- Walimu waliweza kuishi na hiyo mishahara midogo
- Na mengine mengi ongezeeni.
WALIMU wakuu waliendesha shule hata kama serikali itachelewesha support.
Sasa wataisoma namba, wazazi watafurahi lakini wajue watoto nao watakosa mitihani ya wiki ili kuwafanya kuwa active. hiyo elfu 5000 ambayo wazazi walikuwa wakichanga iliwasaidia wanafunzi kupata vitu vingi kama uji kama usafi kama chalk kama umeme kama ukinzi kama karatasi za mitihani.
Niwaombe tu walimu wakubaliane na mabadiliko ya JPM na serikali itafidiaa hizo hela za umeme maji n.k kama zitacheleweshwa ndo kuisoma namba.
Mwisho mbadiliko huja na faida na hasara. Elimu burendiyo hiyo hata lowasa angefanya kama magu nvyofanya. kwa hiyo tumshukuru yale jk aliyafanya na tujifunge mkanda ambayo magu anakuja nayo baada ya miaka miwili tutaona matunda yake.
TANZANIA YETU SOTE