Walimu kuendelea kudharaulika mishahara kiduuuchu

JALUO

Senior Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
168
Reaction score
45
:disapointed:KWA MUJIBU WA WARAKA MPYA UNAOONESHA NYONGEZA YA MISHAHARA NI DHAHIRI MWALIMU HAWEZI TENA HATA KUNYWA SODA,,WARAKA HUO UNAONESHA MISHAHARA IMEONGEZEKA KWA 8% WAKATI MAISHA YAMEZIDI KUPANDA,,

KWA MUJIBU WA WARAKA HUO NI DHAHIRI WALIMU HAWATAWEZA ATA KULIPIA ADA YA KADI YA CCM,,KWANINI NAMUONGELEA MWALIMU???.....KWAKUA HANA PAKUSHIKA TOFAUTI NA HUO MSHAHARA WAKE.KWA UJUMLA NAWAPA POLE WALIMU NA KUWATAKA WAONGEZE VIBANDA VYA TUITION SO as to move life...........Taanzania, tanzaniaaaa....nakupend..............
 
kikubwa serikali iitazame hii kada kwani hali za walimu ni duni sana,lakini pia kuna waraka ulikua unatembea ukionesha kusereresha madaraja,je waraka huo umefikia wapi??
 
huo waraka unatoa tu matumaini na kupumbaza hawa watumishi wa serikali..waungane tu kudai haki zao,waache uoga
 
Ccm haina hela bana!
Serikali iliyofilisika inashindwa kukusanya kodi... Wanashindwa kukusanya kodi ya nyumba zinazopangishwa mijini wanapandisha kwenye simu!
 
:disapointed:KWA MUJIBU WA WARAKA MPYA UNAOONESHA NYONGEZA YA MISHAHARA NI DHAHIRI MWALIMU HAWEZI TENA HATA KUNYWA SODA,,WARAKA HUO UNAONESHA MISHAHARA IMEONGEZEKA KWA 8% WAKATI MAISHA YAMEZIDI KUPANDA,,

KWA MUJIBU WA WARAKA HUO NI DHAHIRI WALIMU HAWATAWEZA ATA KULIPIA ADA YA KADI YA CCM,,KWANINI NAMUONGELEA MWALIMU???.....KWAKUA HANA PAKUSHIKA TOFAUTI NA HUO MSHAHARA WAKE.KWA UJUMLA NAWAPA POLE WALIMU NA KUWATAKA WAONGEZE VIBANDA VYA TUITION SO as to move life...........Taanzania, tanzaniaaaa....nakupend..............

Muda mfupi ujao wata lipwa vizuri,serikali yetu sikivu inajipanga kwa mipango madhubuti ya kuwalipa
 
:disapointed:KWA MUJIBU WA WARAKA MPYA UNAOONESHA NYONGEZA YA MISHAHARA NI DHAHIRI MWALIMU HAWEZI TENA HATA KUNYWA SODA,,WARAKA HUO UNAONESHA MISHAHARA IMEONGEZEKA KWA 8% WAKATI MAISHA YAMEZIDI KUPANDA,,

KWA MUJIBU WA WARAKA HUO NI DHAHIRI WALIMU HAWATAWEZA ATA KULIPIA ADA YA KADI YA CCM,,KWANINI NAMUONGELEA MWALIMU???.....KWAKUA HANA PAKUSHIKA TOFAUTI NA HUO MSHAHARA WAKE.KWA UJUMLA NAWAPA POLE WALIMU NA KUWATAKA WAONGEZE VIBANDA VYA TUITION SO as to move life...........Taanzania, tanzaniaaaa....nakupend..............

Wanasiasa acheni kutumia walimu kama daraja la kutafutia umaarufu, kla siku walimu, walimu, walimu kwa hiyo wewe ndo unajua wanapata shiida kuliko wao wenyewe.
 
Ccm haina hela bana!
Serikali iliyofilisika inashindwa kukusanya kodi... Wanashindwa kukusanya kodi ya nyumba zinazopangishwa mijini wanapandisha kwenye simu!

Muulize SLAA anayetumbua ruzuku ya CHama kila siku yuko ISRAELI, JAPAN na UJERUMANI na mshumbuzi wake kwa kodi hiyo hiyo inayokusanywa na serikali ya CCM.
 
ahaaaaaa nashukuru kuwa mwl coz kazi ninayoifanya matokeo yake ni kwa sanduku la kura 2015 kwani hata wanafunzi ambao hawajafikisha umri wa kupiga kura watajiandikisha mwakani
 
Tunatakiwa walimu kuwana rais wa walimu mnyakyusa c mnaona madaktar mamboyao poakbsa.
 
Nafikiri mwakani katika bajeti wataongeza ili mkumbuke mpaka 2015 alafu mchague ccm ,,,,yani wafanyakazi wa bongo ni kama watoto wa mzazi masikini,,nguo mpya mpaka sikukuu alafu unashukuru muhura mzimaa mpaka sikukuu nyingine
 
Back
Top Bottom