Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?
Wanavyo!Kufisadi kila wanachoweza!! Kama watakua na mgomo wakomae nao mpaka wanachotaka kipatikane!Nchi ilojaa usanii haiwezi kuwa na vipaumbele hata siku moja :A S 13:
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?
Mbona huku Private Sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?

hoja yako ya kijinga sana! Hawa ndo aina ya viongozi tulionao wanaopenda kuiba mpaka na haki za wenzao! Mnafurahi kunenepesha matumbo yenu mpaka mnashindwa kugusa nyeti zenu!enyi viongozi wa taifa hili kuweni na aibu hata kama maadili yamewashinda!mbona huku private sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?
VIPAUMBELE TZ NI VP?