Kalund
Senior Member
- Nov 8, 2014
- 159
- 56
Kwani mgonjwa hajui kiingereza?Mkuu inasaidia mgojwa kutokujua kinachongelewa hasa.pale amabpo kingeweza kuleta mstuko kwa mgojwa au ndugu zake.
Pili mazingira hayo yanawajengea madaktari hamasa ya kusoma vitabu zaidi ili kujua lugha kwa ufasaha zaidi. Hii huongeza maarifa na kuboresha utendaji kazi pamoja na kurahisisha usomaji wao.