Kile kipigo cha Mbeya si cha Mwl kwa mwanafunzi ndo shida hata kama mwanafunzi alikuwa mbishi au jeuri ndo shida kwa wale Walimu ilikojitokeza.Watu mliwaponda Sana walimu sasa angalieni wanachokifanya af utegemee mwanafunz kama huyo atamsikiliza mwalimu matokeo yake ni ubishi tu na kujifanya mbabe mwsho wa siku kutokea kile cha mbeya mi ninavyojua mwanafunz hawezi kupigwa kiasi kile kama hakuwa mbishi kupokea adhabu aliostahili
Kwaio walimu waalim ndio wanafaa kuwekwa mtandaoniChonde chonde walimu naona technolojia hii sasa itatutoa ktk ethics za ualimu.
Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo.
Walimu wamerecord na kuirusha hewani.
Ni majibu kwa ile ya Mbeya au?
Walioweka record clips zote mbili hii na ile ya Mbeya ni Walimu na waliopost ktk mitandao ni walimu na ndo maana nimeshtuka.suala la kwanza kurecord matukio shuleni ni Waraka upi wa Utumishi wa Umma unatumika.Kwaio walimu waalim ndio wanafaa kuwekwa mtandaoni
Kaka sikia hii. Jana kuna data zimetoka, tanzania ina IDADI ya WAGONJWA WA AKILI, 400,000+ .Watz katika ubora wetu wa Unafiki.
Watoto wakifanya makosa yafichwe ila walimu mdomoooooo
Kati ya hao 400,000 sipati picha wanasiasa na viongozi wapo wangapiKaka sikia hii. Jana kuna data zimetoka, tanzania ina IDADI ya WAGONJWA WA AKILI, 400,000+ .
Nimeskia Azam Tv Habari saa 2 usiku.
Usije ukamtaja BWANA YULE.Kati ya hao 400,000 sipati picha wanasiasa na viongozi wapo wangapi
Usije ukamtaja BWANA YULE.
akitajwa watatajwa na wafuasi wake sasa sijui itakuaje si kama idadi iliyotolewa itakuwa ndogo
Mbona hao watoto wazima! Hapo ilibidi wanaoneshwa wameshachakaa... Maana bhangi zimewazidi, halafu akina Msigwa mnaishia kuwasema tu. Mitoto ya siku hizi ndo inavohitaji kuendeshwa. BTW asante kwa hiyo clip, serikali pendwa haina muda wa kutoa tamko, nchi hii malaika ni mwalimu na wengine wote ni binadamu hua wanakosea... Clip hapo chini ya wanafunzi waliokutwa na Bangi na Viroba wakati wa masomo...