Walimu ebu ipe thamani elimu yenu

Middle class wa kitanzania mnafeli wapi?,ukisubiri kujipanga kinachofuatwa utapangwa!,waalimu wanatakiwa huko far east, why usitake risks kwenda kule?science bado ni critical skills kwa nchi nyingi hapa hapa SADC why hamjaribu kwenda kule?,au ndio uzuzu wa uoga?,pigana pata passport then ...sky it's the limit...fly ruka fly na fight
 
Mkuu usiombee huku nje maisha ni magumu kupita maelezo, nimemkuta mstaafu mmoja alikuwa Afisa kwenye idara fulani ya serikali hivi sasa ni fundi baiskeli, kila biashara aliyojaribu kufanya iligoma
Kuna kazi ukizifanya ni laana ukistaafu ndio unaelewa....kitaa kina CODES....kitaa ni Kwa Terry ✍️✍️✍️
 
Oky

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
😂Kwani mleta mada kafanyaje mbona mnamshambulia sana?
 
Mtoa mada anawazungumzia walimu kama wewe, hivi mwalimu kama wewe utawezaje kuiheshimu taaluma yako?

Unafundisha nini watoto wetu wakati wewe mwenyewe huwezi kuandika?
 
Mleta mada we ni mtu usiyejua uhalisia wa maisha.

Ni Bora alipwe hiyo 250k kwa mwezi huku akichapa kazi na kuipa thamani cv yake.

Akijua alipo hiyo 250k inatosha kuishi, uchapakazi, uaminifu, ustahimilivu na uvumilivu vitampandisha daraja.

Elimu SI kitu bila manufaa yake, Kuna kijana alianza na 240k mwaka 2020 mpaka Sasa anaingiza 1m per month kama mshahara Yuko private school.
 
Mtoa mada anawazungumzia walimu kama wewe, hivi mwalimu kama wewe utawezaje kuiheshimu taaluma yako?

Unafundisha nini watoto wetu wakati wewe mwenyewe huwezi kuandika?
Walimu tunacopy kwenye oxford, tie, fundamental book na vitabu vngine. Kaz yetu kubwa ni kufafanua kilichoandikwa. So kuandika andika sio issue kwetu.
 
Good comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…